-->

Daily Archives: August 15, 2017

Wanataka Kuniuwa – Said Karoli

Post Image

Ikiwa imepita miezi miwili toka msanii wa nyimbo za asili Tanzania Said Karoli arudi rasmi kwenye muziki na kuachia kazi zake mbili zilizopata mafanikio na kuwafikia watu wengi zaidi ameibuka na kudai watu wameanza kumpiga vita kishirikina na wanata. Said Karoli ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Orugambo’ amedai kuwa ushirikina upo na watu […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Ngoma Nzito, Ushahidi W...

Post Image

Ushahidi wa kesi ya Wema Sepetu na wenzake wawili ya matumizi ya madawa ya kulevya aina ya bangi, umezua mvutano mzito katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam Jumanne hii. Upande wa washtakiwa ambao unaongozwa na wakili Peter Kibatala na Tundu Lisu, umeupinga ushahidi wa vielelezo ambavyo vimefikishwa mahakamani hapo na ofisa […]

Read More..

Wahyda Mkwe wa Mr Blue Atoboa Haya Kuhusu K...

Post Image

Mke wa msanii wa Hip hop bongo Mr. Blue Bi. Wahida maarufu kwa jina la Wahida wa Mr. Blue, ametoa sababu ambayo iliwafanya yeye na mumewe kupigana mara kwa mara. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Wahda amesema wakati wanamlea mtoto wao wa kwanza wa kiume Heri Samir, walikuwa na changamoto […]

Read More..

Chid Benz Akamatwa kwa Madawa ya Kulevya

Post Image

Jeshi la polisi Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni amesema watuhumiwa hao walikamatwa Agosti 12 mwaka huu saa 11.50 jioni wakijihusisha na uuzaji […]

Read More..

Huddah: Natamani Kuwa Mke wa Rais

Post Image

MWANAMITINDO maarufu nchini Kenya, Huddah Monroe, amesema anatamani siku moja aje kuwa mke wa rais ili aweze kuishi kwa amani katika maisha yake. Mrembo huyo wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, alitumia mitandao yake ya kijamii kuonesha wazi kumpigia debe Rais Uhuru Kenyata. Hata hivyo, baada ya Uhuru kushinda urais, Huddah alisema anatamani […]

Read More..

Mke wa Mugabe akamatwa Afrika Kusini

Post Image

Johannesburg, Afrika Kusini. Grace Mugabe, ambaye ni mke wa Rais Robert Mugabe aweza awe amewafanyia ubabe watu kadhaa nchini kwake lakini kitendo cha kumshambulia, kwa waya wa umeme, mrembo mwenye umri wa miaka 20 kimemweka matatani. Mama Mugabe alikamatwa jana na alikuwa anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kwa kosa la kumshambulia mrembo huyo anayedaiwa kuwa ni […]

Read More..

Hakuna mwanamke anapenda mwanaume – G...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Giggy Money amefunguka na kusema kuwa hakuna mwanamke anapenda mwanaume bali wanawake wanapenda pesa tu hivyo amedai yeye sasa hajali kumfurahisha mwanaume kwa umbo lake ila anachoangalia yeye anapiga pesa. Mbali na hilo Giggy Money anadai kuwa ndoto zake za kuja kutoka kimapenzi na msanii Wizkid kutoka Nigeria bado […]

Read More..

Soma Hapa Magazeti ya leo August 15, 2017

Post Image

Chanzo:millardayo.com

Read More..

Richie: Msichana Anaweza Kubadili Jamii

Post Image

MSANII mkongwe katika filamu Bongo, Single Mtambalike ‘Richie’ yupo mbioni kuachia kazi yake ya Queen of Maasai mwanzoni mwa Septemba ambayo anaonyesha jinsi gani msichana anaweza kubadili maisha ya jamii yake. Akizungumza na Over Ze Weekend, Rich alisema waigizaji wengi wanakimbilia kutengeneza filamu za kimapenzi, lakini yeye kama mkongwe, ameamua kuonyesha jinsi msichana mdogo anavyoweza kubadili maisha ya jamii […]

Read More..