-->

Daily Archives: August 27, 2017

Asante kwa Kunikubali Mh. Waziri J. Makamba...

Post Image

STAA wa Series Comedy kali ya Side wa Kitonga Said Bakary Mbelemba aka Side Jangala Junior inayotamba katika Luninga ya E Tv amefurahishwa sana na kukubalika January Makamba-Waziri wa Nchi, Ofisi ya M/Rais, Muungano na Mazingira kupitia Side wa Kitonga ambayo inakimbiza kupitia kituo chako cha Luninga cha E Tv. “Unajua unakutana na mtu mkubwa […]

Read More..

Snura, Ngassa Mnazuga?

Post Image

WAHENGA wanasema, lisemwalo lipo na kama halipo basi laja. Si mnakumbuka kipindi fulani hivi, staa wa filamu na muziki wa mduara, Snura Mushi na winga nyota wa zamani wa Yanga aliyepo Mbeya City, Mrisho Ngassa picha zao za kiutu uzima ziliwahi kuvuja na kuvumishwa kuwa ni mtu na mtuwe? Hata hivyo jamaa hao walituzuga hakuna […]

Read More..

Matatizo Yamenifikisha Hapa-Wema Sepetu

Post Image

Malkia wa filamu bongo, Wema Abraham Sepetu amefunguka na kudai hawezi kubweteka chini na kushindwa kufanya kazi zingine kwa sababu ana kesi mahakamani huku akiamini kwamba matatizo wameumbiwa wanadamu na Mungu ndiye anayepanga. Akizungumza na wanahabari kwenye zulia jekundu wakati wa uzinduzi wa filamu yake mpya ‘Heaven Sent’ Mlimani City Century Cinema, Wema amesema matatizo […]

Read More..

Shamsa Atamani Kumfuata Mzee Yusuf

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anatamani kumfuata aliyekuwa staa wa Taarab, Mzee Yusuf kwa kuokoka kwani anahisi siku za kufa zimekaribia. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Shamsa alisema kuwa, kila kukicha anajikuta anatamani kuokoka na kuacha kila kitu anachokifanya, abaki kusali tu kwani ana hofu sana ya Mungu, lakini hajui ataanzaje, ingawa […]

Read More..

Wema Anatutoa Shimoni – Aunty Ezekiel

Post Image

Msanii wa filamu bongo Aunty Ezekiel, amejivunia kitendo cha msanii mwenzake ambaye pia ni rafiki yake mkubwa Wema Sepetu, kuzindua filamu ya Heaven Sent kwa aina ya kipekee, na kusema huenda likawa tumaini jipya kwa bongo movie. Akizungumza kwenye uzinduzi wa filamu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa sinema jijini Dar es salaam, Aunty Ezekiel amesema […]

Read More..

Country Boy Afunguka Kulelewa na Kajala (VI...

Post Image

Rapa Country Boy ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Turn Up’ akiwa na mkongwe Mwana FA amefunguka na kusema kuwa msanii wa filamu nchini Kajala Masanja anamlea vizuri na kusema kwake ni kama mama. Country Boy anasema yeye na Kajala wanafahamiana muda mrefu na kudai kuwa hata wimbo wake wa kwanza kufanya Kajala ndiye […]

Read More..