-->

Monthly Archives: January 2018

Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia stud...

Post Image

Wasanii wa muziki wa dance nchini ambao wameachiwa hivi karibuni kutoka gerezani kwa msamaha wa Rais JPM, Babu Seya na Papii Kocha Leo January 5, 2017 wametembelea studio za Wanene ambapo walipelekwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza. Wasanii hao baada ya kutembelea studio za Wanene walifanya mazungumzo na Uongozi wa […]

Read More..

VIDEOMPYA: Nini ameachia hii aliyomshirikis...

Post Image

Nini ambaye anafanya vizuri na nyimbo zake safari hii anakualika kuufungua mwaka na video yake ya “Niwe dawa” aliyomshirikisha mkali wa HipHop bongo Nay Wa Mitego. bonyeza PLAY kuona video hii  

Read More..

VideoMpya: Bruno Mars ameiachia hii aliyoms...

Post Image

January 4, 2018, Video ya mkali kutokea United State Bruno Mars ameachia wimbo wake wa Finesse Remix ambapo amemshirikisha rapa Cardi B, Director katika wimbo huu ni yeye mwenyewe Bruno Mars akisaidiana na Florent Dechard.

Read More..

Watengeneza kisiwa cha udongo ili wanywe po...

Post Image

Kutokana na marufuku dhidi ya unywaji pombe hadharani wakati wa sherehe za mwaka mpya nchini New Zealand kikundi kimoja cha watu kutoka eneo la kisiwa cha Coromandel nchini humo kimeshangaza watu baada ya kutengeneza kisiwa kidogo cha udongo kisiwani hapo ili wanywe pombe bila kukamatwa na polisi kwa kukiuka marufuku hiyo. Kwa mujibu wakazi hao, […]

Read More..

Diamondplatnumz Live Performance at Naivash...

Post Image

Msaani Diamond platnumz afanya show kubwa Naivasha/Nairobi. Msaani huyo afungua mwaka mpya kwa nguvu zaidi na kusherekea na mashabiki wake siku ya tarehe 1/1/2018.

Read More..

Kwaheri Mwaka 2017 Karibu 2018 Bongo Movie

Post Image

MWAKA 2017 umekatika tukisubiria mwaka mpya 2018 zikiwa zimebaki siku kadhaa tasnia ya filamu kama ilivyo sekta nyingine ambazo zilikuwa na matukio ya kukumbukwa na kuagwa kwa kuukaribisha mwaka 2018 kwa matukio mapya katika ukuzaji wa tasnia ya filamu Swahilihood kwa waliojifunza wamejifunza na wale waliopoteza ni vema kujipanga kwa mwaka 2018. Kulikuwa na mengi […]

Read More..

Mwigizaji Johari Kuokoka!

Post Image

  MWIGIZAJI ‘mhenga’ Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedai kubadili mfumo wa maisha yake na kuahidi kuokoka ili kujiweka karibu na Mungu, ikiwa ni pamoja na kuachana na maisha ya ajabu kama matumizi ya pombe. Johari aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, amebaini maisha ni mafupi duniani hivyo ni vyema kujisafishia njia na kumrudia Mungu ambaye ndiye mwokozi […]

Read More..

Siku Ya Leo Jinsi Ilivyokumbukwa na Wastara

Post Image

Kwa upande wa muigizaji Wastara Juma yeye amesema huwa anaitumia siku ya leo kwa kuangalia picha za aliyekuwa mume wake Sajuki Kilowoko amabaye alifariki  January 2, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katika ukurasa wake wa Instagram Wastara ameandika “Naweza nikawa nakosea sana lakini sina jinsi ni mapenzi ya […]

Read More..

Uwoya Hawezi Kuusahau 2017

Post Image

STAA mwenye mvuto wa kipekee kwenye Bongo Movies, Irene Uwoya amesema kuwa, hawezi kuusahau mwaka uliomalizika jana wa 2017 kutokana na kukumbana na vitu vingi maishani kuliko kipindi kingine chochote. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Uwoya aliweka wazi kuwa, katika maisha ya mwanadamu, lazima kuna mwaka ambao kuna jambo zuri au baya ambalo humtokea mtu hivyo […]

Read More..