Jina Analotumia Baraka ni Langu – Dul...
Mwanamuziki mkongwe Prince Dully Sykesy ameweka wazi yeye ndiye aliyempatia jina la kisanii Baraka The Prince miaka kadhaa iliyopita kabla hata msanii huyo hajatoa wimbo hata mmoja. Katika ukurasa wake wa instagram Dully ameandika kwamba baraka aliwahi kumpigia simu na kumwomba amchagulie jina ambalo litamfanya awe maarufu. “Kuna siku ila mwaka sikumbuki nilipata simu kutoka kwa […]
Read More..





