Nikki wa Pili awapa makavu wasanii
Msanii kutoka kampuni ya Weusi Nikki wa Pili amefunguka na kuwachana wasanii wenzake ambao wanapuuzia vikao vinavyoitishwa na kudai endapo hawatobadilika na tabia hiyo basi watambue haki zao zitachelewa kuwafikia. Nikki amebainisha hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya yeye kuchaguliwa kuwa miongoni mwa wasanii wa kusimamia mfuko wa wasanii wa bongo fleva […]
Read More..





