• Post Image

  Kiapo Chamtesa Esha Buhet

  Kiapo cha kutochora tena michoro (tattoo) katika mwili wake, alichokitoa msanii wa filamu Bongo, Esha Buhet, kinamtesa baada ya kukikiuka kwa kujichora mkubwa zaidi ya hapo awali.

  Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, […]

 • Post Image

  Masanja: Mimi Ni Mchungaji, Lakini Mbinguni Ng’o Sitaki Kwenda

  Emmanuel Mgaya, maarufu kama “Masanja Mkandamizaji” aliyejizoelea umaarufu katika fani yake ya uchekeshaji na kundi lake la “Ze Comedy” kwa […]

 • Post Image

  ZIFF Yaanza Kupokea Maombi ya Wasanii

  TAMASHA la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF), limeanza kupokea maombi ya wasanii wa sanaa mbalimbali kutoka nchi […]

 • Post Image

  Wolper, Mkongo Watimkia Sauzi!

  Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper na mpenzi wake Mkongo, wamedaiwa kuuza magari yao na kutimkia nchini Afrika Kusini […]

Kiapo Chamtesa Esha Buhet

Post Image

Kiapo cha kutochora tena michoro (tattoo) katika mwili wake, alichokitoa msanii wa filamu Bongo, Esha Buhet, kinamtesa baada ya kukikiuka kwa kujichora mkubwa zaidi ya hapo awali. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Esha alisema alikula kiapo cha kutojichora mwili wake, lakini amelazimika kukivunja baada ya kuamua kumuenzi mama yake mzazi. “Nimefanya hivyo kwa ajili ya mama yangu, nimeona sina sehemu ya kumuweka zaidi ya mgongoni kwangu tena kwa maandishi,” alisema Esha.

Read More..

Masanja: Mimi Ni Mchungaji, Lakini Mbinguni...

Post Image

Emmanuel Mgaya, maarufu kama “Masanja Mkandamizaji” aliyejizoelea umaarufu katika fani yake ya uchekeshaji na kundi lake la “Ze Comedy” kwa sasa amegeukia kazi ya ushehereshaji na Uchungaji. Katika moja ya Kazi yake hivi karibuni Masanja akiwa MC katika tukio fulani alitoa mpya baada ya kuwashangaa waimbaji wa Kigali-Rwanda wa kwaya ya “AMBASSADOR OF CHRIST” ambao […]

Read More..

Baada ya Kuachana na Shilole… Nuh Mziwand...

Post Image

IMEVUJA! Zikiwa zimepita siku chache tangu wasanii waliokuwa wapenzi, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kuachana, imedaiwa kuwa mwanaume huyo amefulia na kujikuta akila kwa mama lishe huku akidaiwa kodi ya chumba anachoishi. Chanzo makini kimeiambia Showbiz Xtra kuwa wawili hao wakati wakiwa katika uhusiano wa kimapenzi, Shilole ndiye aliyemlipia kodi ya chumba […]

Read More..

ZIFF Yaanza Kupokea Maombi ya Wasanii

Post Image

TAMASHA la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF), limeanza kupokea maombi ya wasanii wa sanaa mbalimbali kutoka nchi mbalimbali za Afrika na nje ya Afrika kwa ajili ya ushiriki katika tamasha hilo kubwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Tamasha hilo, Profesa Mahando, maombi hayo yanatumwa kabla ya Machi 31, 2016 na yatumwe kupitia […]

Read More..

Picha: Wachezaji wa DR Congo Watuzwa Magari...

Post Image

Rais wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo Laurent Kabila ameamua kuwazawadia magari wachezaji wa timu ya taifa ya Kongo walioshinda Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani (CHAN), Rais Kabila ameagawa magari kwa wachezaji 23 na viongozi 7 waliofanikiwa kutwaa Kombe la CHAN kwa mwaka 2016, michuano ambayo imefanyika Rwanda. DR […]

Read More..

Picha: Kivuko cha MV Magogoni Chapoteza Mwe...

Post Image

Kivuko cha MV Magogoni kupata hitirafu, kumepoteza mwelekeo na kuacha njia yake hali ilozua taharuki kwa abiria. Vilio na kelele zilisikika pale maji yalipoanza kupanda ndani ya kivuko. Hali hiyo ilisababisha abiria waanze kujitosa ndani ya maji kwa wale wanaojua kuogelea. Hakika watu wa Kigamboni wanatembea roho mkononi. Poleni kwa wote Mliofikwa na mkasa huu […]

Read More..