-->

Snura aweka wazi mahusiano yake mapya

Post Image

Msanii wa bongo fleva, Snura Mushi maarufu kama Malkia wa uswazi amefunguka kwa mara nyingine na kudai yeye hana roho ya ubinafsi kama walivyo watu wengine kwenye kutoa msaada kwa watu ambao wanahitaji kufikia malengo yao waliyojiwekea. Snura ametoa msimamo wake huo katika ukurasa wake maalumu wa kijamii baada ya watu kuendelea kutoa maneno yao […]

Read More..

MSAANI MPYA : Rapa mkali anayekuja kwa kasi...

Post Image

Rapa mkali anayekuja kwa kasi Bongo aitwaye Orbit. Kwa sasa ana nyimbo mbili ambazo ni; MAKAVELI na BUKU KUWA LAKI. Nyimbo yake ya kwanza itwayo Makaveli ilitoka Augusti 13, 2016 ambayo inachukua dakika tatu na sekunde kumi , 3:10. Bofya “PLAY” kuisikiliza Nyimbo yake ya pili itwayo BUKU KUWA LAKI imetoka mwaka huu 2018 tarehe Feb 23, […]

Read More..

Sugu, Masonga jela miezi mitano

Post Image

Mbeya. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewatia hatiani mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga na kuwahukumu kifungo cha miezi mitano jela. Hukumu hiyo imetolewa leo Februari 26,2018 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Michael Mteite. Sugu na Masonga wamehukumiwa kwa […]

Read More..

Shahidi: Wema alinieleza anatumia bangi kam...

Post Image

Shahidi wa tatu wa upande wa mashtaka, WP 6441 DC Mary (35) ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu alimueleza kuwa anatumia bangi kama starehe. Shahidi huyo amedai hayo leo Februari 26, 2018 wakati akiongozwa kutoa ushahidi na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas […]

Read More..

Vanessa Mdee Afunguka Kuvunjwa Moyo

Post Image

Malkia wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi, Vanessa Mdee amefunguka na kudai anamshukuru Mungu kwa kupokelewa vizuri albamu ya ‘Money Monday’ mpaka sasa japokuwa kuna baadhi ya watu wanataka kumvunja moyo. Vanessa amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha ‘FRIDAY NIGHT LIVE’ (FNL) kutoka EATV baada ya kuulizwa swali na […]

Read More..

Mtoto wa Mwigizaji Ray na Chuchu Hans Apata...

Post Image

MTOTO wa Staa wa Filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, aitwaye Jaden Kigosi, amepata shavu kutoka kwa wazazi wake baada ya kumfungulia  akaunti ya ‘NMB Mtoto Akaunti’ kwa ajili ya akiba itakayoweza kumsaidia hapo baadaye. Akizungumza na waandishi wa habari  wakati wa kumfungulia akaunti hiyo, Makao Makuu ya Benki ya NMB, Posta jijini Dar, Ray alisema […]

Read More..

VideoMPYA: Ni time ya Nuh Mziwanda kwenye h...

Post Image

Leo February 24,2018 msanii kutokea kwenye Bongofleva Nuh Mziwandaanakusogezea video ya wimbo wake mpya wa “Upofu” ili kuutazama bonyeza PLAYhapa chini.

Read More..

HABARI ZA MASTAA VideoMPYA: Dayna Nyange ka...

Post Image

Msanii wa kike wa Bongofleva Dayna Nyange ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Salesale’ unadakika 3:33 karibu kuitazama ukishaitazma andika Comment yako hapa chini nayo itamfikia Dyna. Bonyeza Play hapa chini kuitazama..

Read More..

VideoMPYA: Hatimaye Billnass katuletea ‘T...

Post Image

Msanii wa Bongofleva Billnass anatualika kutazama video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Tagi Ubavu‘ ambayo Audio imetayarishwa na Producer Mr T-touchez na video imeandaliwa na Directer Travellah ambayo video inadakika 3:39. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama Video hiyo..

Read More..

Kumbe Ndoa ya Mama Diamond Iko Hivi

Post Image

HABARI kubwa mjini ni Zari ‘Thebosslady’ kumbwaga baba watoto wake, Diamond Platinumz na umaarufu na mkwanja wake wote. Diamond a.k.a Chibu alimwagwa siku ya Wapendanao (Valentine Day), ambapo mengi yamezungumzwa mpaka sasa lakini, jamaa amepiga kimya tu. Baada ya Mwanaspoti kumsaka kwa muda na kupishana naye, limefanikiwa kumnasa mama yake Diamond, Sanura Kassim, ambaye ni […]

Read More..

Aslay na Nandy wapigwa faini milioni 5

Post Image

Wasanii Aslay na Nandy wamepigwa faini ya milioni 5 kwa pamoja kutokana na kukiri, kukubali kosa kuimba wimbo wa ‘Subalkheri Mpenzi’ bila kufanya mawasiliano na wamiliki wa wimbo huo ambao ni kikundi cha Utamaduni cha taarab asilia visiwani Zanzibar. Kikundi hicho kilikusudia kuwafikisha mahakamani wasanii hao lakini kabla ya kuchukua hatu hiyo Aslay na Nandy […]

Read More..

Abdukiba amefunguka baada ya video yake na ...

Post Image

Mwanamziki wa bongo fleva kutokea king music, Abdukiba amekanusha vikali kutoka kimapenzi na mpenzi wa mwanamziki mwenzie Rayvanny aitwae Fayvanny. Mwanamziki wa bongo fleva Abdu kiba pia ni maarufu sana kwa sababu ya undugu alionao na staa wa bongo fleva Alikiba, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na iliyomuonesha yeye na mke wake wa Rayvanny. […]

Read More..

Nay wa Mitego: Naangaikia Kuupeleka Mziki M...

Post Image

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na kibao chake kipya kilichopewa jina la ‘Mikono Juu’ amefunguka na kudai hawezi kujibishana na mtu yeyote kwa sasa kwani yeye anachokihangaikia ni kupeleka mbele muziki wake ili watu wake waweze kuupata. Nay ameeleza hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo ‘PB’ inayorushwa na East Africa Radio na […]

Read More..

Habari za Mastaa Irene Uwoya awatolea uvivu...

Post Image

Kupitia kwenye ukurasa wa instagram wa muigizaji Irene Uwoya ameamua kuyaanika ya moyoni kuhusu wanawake ambao hawatoi ushirikiano kwa wanawake wenzao na hupenda kuona wenzao wakianguka au kufeli kimaisha ambapo hufurahishwa na jambo hilo. Kupitia ukurasa wa instagram wa Irene Uwoya ameandika “Hivi kwanin wanawake tunakuwa hatupendani???yani najiulizaga sana badala sisi tushirikiane ndo kwanza tunarudishana […]

Read More..

Rachel Amkana TID

Post Image

Dar es Salaam. Mwanamuziki wa Bongo, Rachel amesema hajawahi kutoka kimapenzi na TID kama inavyokuwa ikiripotiwa awali. Muimbaji huyo anayetamba na ngoma ‘Same Boy’ alisema taarifa hizo hazina ukweli wowote na wala hajawahi kubeba ujauzito wa TID. “Niseme tu TID siyo bwana yangu, siyo mtu wangu, TID hawezi kuwa mtu wangu, TID mkubwa ujue, ana […]

Read More..

Shilole Afunguka Kuhusu Kupigana Na Mumewe ...

Post Image

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema hawezi kuthubutu kwa sasa kupigana na mume wake Uchebe kwani sasa amekuwa mtu mzima na mapenzi ya kupigana yalikuwa ya utoto. Shilole amebainisha hayo kupitia eNewz inayorushwa na EATV baada ya kuzoeleka na watu wengi kwa tabia yake ya kupiga wanaume ambao anakuwa nao Amefunguka na […]

Read More..

Mkude Simba: Kweli tumeua filamu zetu

Post Image

MWIGIZAJI aliye pia mchekeshaji mahiri katika tasnia ya filamu za Swahilihood, Mussa Kitale ‘Mkude Simba’ amekiri soko la Bongo Movie limeporomoka na ndio sababu ya wasanii kukimbilia kuigiza tamthilia badala ya filamu. “Biashara kubwa ilikuwa katika Bongo Movie, lakini kwa wengi wa wasanii sasa imeyumba, mwokozi wetu labda kwa sasa ni tamthilia, sijui itakuwaje kama […]

Read More..

Diana Ajipanga Kumuombea Lulu

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Diana Kimari, amesema anajipanga kwenda Gereza la Segerea jijini Dar kumuombea aliyekuwa swahiba wake, Elizabeth Maichael ‘Lulu’ anayetumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kuua bila kukusudia aliyekuwa msanii mwenzake, Steven Kanumba. Akizungumza na gazeti hili, Diana alisema kuwa, zaidi ya mara tatu alishajipanga kwenda gerezani kumuona lakini hakuweza […]

Read More..