-->

Daily Archives: January 18, 2017

New Video: Billnass Ft Mwana FA – Mazoea

Post Image

Msanii Billnass ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Mazoea’ akiwa amemshirikisha Mwana FA. Video imeandaliwa na Kwetu Studio chini ya director Masafiri.

Read More..

Ray Kigosi: Chuchu Amenifanya Niitwe Baba, ...

Post Image

Hatimaye Staa wa Bongo Movies, Vicenti Kigosi ‘Ray’ amejitokeza na kumwagia pongezi mpenzi wake wa muda mrefu chuchu Hans kwa kumzalia mtoto. Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram, Ray amefunguka haya; Asante Mungu kwa kuniletea pacha wangu asante my lovely mzungu kwa kunipa heshima kubwa kunifanya niitwe baba, Mungu wangu wa haki asiyeshindwa na […]

Read More..

Harmorapa Afungukia Uhusiano Wake na ‘Wol...

Post Image

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka WCB, Harmonize kiasi cha kubatizwa jina la ‘Pacha wa Harmonize’, Harmorapa, leo ametinga kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga- Mwenge jijini Dar ambapo mbali na mambo mengine, amefungukia uhusiano wake wa kimapenzi na ‘Wolper’. Harmorapa amesema kuwa kutokana na kufanana sana na Harmonize, […]

Read More..

Nay wa Mitego Aijibu ‘Diss’ ya Madee

Post Image

Wafalme wa Manzese, Madee na Nay wa Mitego, wameirejesha tena bifu yao. Imerudi upya baada ya Madee kuandika mstari kwenye wimbo wake mpya, Hela ambao umetafsiriwa kumwendea hasimu wake, Nay. “Yule kijana wa home sio staa, anatukana hata waliomzaa, wivu tamaa na njaa ukiendekeza ujue kidole utakaa,” Madee amerap kwenye wimbo huo. Baada ya muda […]

Read More..

Riyama Aanza Mwaka kwa Kumpoteza Baba

Post Image

MWIGIZAJI wa kike mwenye jina kubwa na nyota Swahilihood Riyama Ali amefunguka kwa kusema kuwa mwaka huu umeingia kwake akiwa na majonzi baada ya kumpoteza baba yake mzazi Mzee Ali aliyefariki wiki mbili zilizopita jijini Dar es Salaam na kuzikwa huku Mjimwema Kigamboni. “Siku zote mandhila hayazoeleki hata huwe jasiri vipi unapompoteza mzazi lazima unaishiwa […]

Read More..