-->

Daily Archives: July 20, 2016

Nido za Kajala Zageuka Gumzo!

Post Image

Staa ‘the big name’ wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amegeuka gumzo ukumbini kufuatia kupita mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwa amebusti nido (matiti) kiasi cha kuwafanya baadhi ya waalikwa ‘kumdiskasi’. Tukio hilo la aina yake lilijiri usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita ndani ya ukumbi wa sinema uliyopo […]

Read More..

Tunajifunza Sanaa Magetoni-Niki wa Pili

Post Image

Msanii Niki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kusema wasanii wengi nchini wanajifunza sanaa magetoni, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kama You tube ambako kote huko hakuna maadili ya sanaa kama ilivyo katika fani zingine ambazo  watu huingia radasani na kusomea fani hizo ambazo mwisho wa siku zinakuwa na misingi ambayo […]

Read More..

Wastara ‘Live’ na Aliyekataa Mahari Yake!

Post Image

Wastara Juma na Juma Mbega ‘Masairo’. WASTARA Juma ambaye alikataa mahari ya shilingi milioni tano ya kijana Juma Mbega ‘Masairo’, hivi karibuni walionekana laivu katika picha za pozi tofauti walizopiga sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam. Chanzo kilichovujisha picha hizo, kinasema licha ya mahari hiyo kukataliwa, lakini wawili hao hivi sasa ni kama kumbikumbi, kwani […]

Read More..

Waandaaji wa filamu Zilikamatwa Wajisalimis...

Post Image

Hayo yamebainishwa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo alipokuwa akifanya mahojiano na mmoja wa waandaaji wa Filamu nchini aliyekutwa na kadhia hiyo Bw. Akim Igembe kutoka Kampuni ya Akim Master Film baada ya Filamu yake ijulikanayo kwa jina la “Mapenzi Uchizi” bango lake lilikutwa sokoni likiwa na alama ya Uhakiki […]

Read More..

Shamsa Ford Ammwagia Sifa Hizi JB

Post Image

MSANII wa Filamu za kibongo, Shamsa Ford, amefunguka kuwa hakuna mtu anayemvutia kwenye tasnia hiyo kama ilivyo kwa msanii mwenzake, Jacob Steven ‘JB’, kutokana na umahiri wake wa kuigiza. Akizungumza na gazeti hili jana, Shamsa alisema JB ni mtu mmoja ambaye anajua kugusa uhalisia pale anapoigiza na kukitendea haki kipengele hicho. “JB anaweza kuigiza kama […]

Read More..