-->

Monthly Archives: November 2016

Calisah: Kama Sio Mimi ni Wema Aliyevujisha...

Post Image

Sinema ya model Calisah imezidi kushika kasi – amefunguka kwa kudai kuwa ni yeye au Wema Sepetu ndio waliovujisha video inaowaonesha wakilana denda. Siku chache zilizopita mwanamitindo huyo wa kiume alikamatwa na polisi kwa kosa la kudaiwa kusambaza kipande hicho cha video lakini baadae aliachiwa. Akiongea na kipindi cha Campus Vibes cha Times FM, Calisah […]

Read More..

Raymond Atuhumiwa Kuiba Mistari Kwenye Wimb...

Post Image

Msanii wa WCB, Raymond anatuhumiwa kutumia baadhi ya mistari ya wimbo wa msanii wa muziki wa Singeli, Manyo Lee kwenye wimbo wake mpya wa ‘Sugu’. Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Manyo Lee amesema, “Mimi nilisikia kwa watu tu kuwa dogo kachukuwa mashairi yangu. Juzi kati lilifanyika tamasha kubwa tu nikaona akiimba […]

Read More..

Kigwangalla Akifunga Kiwanda cha Afro-Ameri...

Post Image

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla, ameendelea na usimamizi wa Operesheni Maalum ya kufuatilia na kuufumua mtandao wa Viroba na Pombe feki na haramu nchini. Mchana huu amelazimika ku na vinginevyo ambavyo vimekutwa havina vibali vya TFDA na havina usajili wa TFDA, havina Batch Number ya kutambua […]

Read More..

Picha: EATV Awards Yafanya Semina na Wasani...

Post Image

Tuzo za EATV Awards 2016 Jumatano hii imefanya semina maalumu na wasanii wanaowania tuzo kutoka katika vipengele mbalimbali vya tuzo hizo ambazo kilele chake kinatarajiwa kuwa Desemba 10 mwaka huu. Msanii wa filamu Gabo akiuliza jambo Semina hiyo ilihusisha viongozi wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), waandaaji wa tuzo hizo (EATV) pamoja na nominees kutoka […]

Read More..

Sina ‘Bifu’ na Bella – Chaz Baba

Post Image

Mkongwe wa muziki wa dance nchini Chaz Baba amesena hana bifu lolote na msanii mwenzake Christian Bella na kwamba yeye ni ‘Team Bella’ damu. Pia Chaz Baba amesema ni wakati tu haujafikia na muda ukifikia watakutana na Bella kwa kuwa tangu Bella anaingia Tanzania alikuwa anamuelewa na sasa anafanya vizuri katika muziki na mashabiki wake ndo mashabiki waliokuwa […]

Read More..

Alikiba Afungukia Ishu Yake na Hakeem 5

Post Image

King wa bongo fleva Ali Kiba amesema kwa sasa hawezi kufanya kazi na Hakeem 5 hata kama ikitokea akiomba kolabo kwa kuwa uongozi wake ndiyo utatoa maamuzi ya nani kufanya kolabo na yeye kwa sasa. Hata hivyo Kiba amesema hana tatizo na Hakeem 5 kwani ni ndugu yake na anajua yote yametokea kwa kuwa kamsaidia […]

Read More..

Pichaz: Vera Sidika Aonyesha Mjengo na Gari...

Post Image

Mrembo maarufu wa Kenya, Vera Sidika ameonyesha kuwa na yeye ni miongoni mwa mastaa wanaomiliki vitu vya thamani. Kupitia mtandao wa Instagram, Vera ameuonyesha mjengo wa kifahari anaoumiliki pamoja na gari aina ya Range Rover na kuwaacha mashabiki mdomo wazi. “I still remember the days I prayed for the things I have now. Just believe […]

Read More..

Jahazi Limevunjwa na Mungu – Khadija Yusuph

Post Image

Msanii wa taarabu nchini Khadija Yusuph amesema hakuna tena kundi la Jahazi Morden Taarabu kwa sasa na tayari wamegawana vitu vilivyokuwa ndani ya kundi hilo na yeye kwa sasa yupo kwa Thabit Abdul. Akiongea ndani ya eNews Khadija amesema Jahazi limevunjwa na Mwenyezi Mungu kwa kuwa Mzee Yusuph wakati anaacha muziki alisema hata vunja kundi hilo […]

Read More..

Calisah Afunguka Baada ya Kusambaa kwa Vide...

Post Image

Weekend hii katika mitandao ya kijamii kumesambaa video inayomuonyesha malkia wa filamu nchini Wema Sepetu akiliwa denda na model Calisah. Wawili hao ambao walitumia nguvu nyingi kufanya siri mahusiano yao, wameumbuka kupitia video hiyo iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Calisah amesema hajui ni nani ambaye amesambaza video hiyo mtandaoni kwani […]

Read More..

Sijawahi Kuomba Kolabo kwa Msanii wa Bongo ...

Post Image

Msanii nguli wa bongo fleva Q Chief amesema hajawahi kumpigia msanii yoyote hapa Tanzania kumuomba wafanye kolabo japo yeye amekuwa akipokea simu nyingi kutoka kwa wasanii mbalimbali wakimuomba kufanya naye kolabo. Akiongea ndani ya eNewz Q Chilla amesema huwa anaangalia muda wake pale anapopigiwa simu za kuombwa kolabo na  mara nyingi anaangalia malipo na muda aliamua […]

Read More..

Ommy Dimpoz:Kuna baadhi ya Wasanii Wananunu...

Post Image

Msanii wa muziki Ommy Dimpoz amedai kuna baadhi ya wasanii wananunua views katika mtandao wa YouTube ili video zao zionekane zimeangaliwa zaidi. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kajiandae’ akiwa na Alikiba amedai yeye hawezi kufanya mchezo wa kununua views kama baadhi ya watu wanavyofanya. “Mimi nataka kutoa wito maana siku hizi watu ‘wanachiti’ […]

Read More..

Baada ya Video ya Kudendeka Kuvuja, Mashabi...

Post Image

Kufuatia kuvuja kwa video inayomuonesha Wema Sepetu akiliwa mate na model Calisah, anayedaiwa kuwa ni boyfriend wake sasa mashabiki mtandaoni wamemshanulia staa huyo. Kwenye moja ya post, Calisah ameandika ‘Hope U knw the truth (God).” Wema ambaye ameonesha kuchukizwa na kuvuja kwa video hiyo alicomment kwenye post hiyo kwa kuandika “Bullshit. F*ck You!” Inaonekana kuwa […]

Read More..

Wema Anaangushwa na Marafiki Zake – Kadinda

Post Image

Mbunifu wa mavazi kutoka Bongo, Martini Kadinda amesema hawezi kumchagulia Wema Sepetu marafiki wa kuwa nao karibu na hawezi kujiingiza kwa lolote katika ugomvi wao. Akipiga story ndani ya eNewz, Kadinda amesema ugomvi ambao unatokana na marafiki zake Wema unamshusha Wema kwa kuwa Wema ni mtu maarufu na ana jina kubwa hivyo alichokifanya ni kumzuia Wema kuweka ugomvi […]

Read More..

Keisha Apata Mtoto wa Tatu, Ahitimu Chuo Ki...

Post Image

Mwanamuziki wa Bongo Flava, Keisha, amepata mtoto wa tatu. Kama hiyo haitoshi, muimbaji huyo amehitimu pia chuo kikuu. Keisha ameshare furaha hiyo kupitia Instagram: Thanks Allah for blessing me with the big achievement that I have ever made in my life for obtaining my first Degree together with my 5 days new born oohh Allah […]

Read More..

Hakeem 5 Agoma Kumuomba Alikiba Msamaha

Post Image

Msanii wa bongo fleva Hakeem 5 amesema hawezi kumuomba Ali Kiba msamaha kwa kuwa hajafanya kosa lolote na alichoongea kuwa Ali Kiba anaroho mbaya aliongea ukweli. Akiongea ndani ya eNewz amesema anaweza kuishi akiwa anafanya muziki na hata  asipofanya hivyo anaweza akaishi hivyo hawezi kwenda kumuomba Kiba msamaha kwa kuwa yeye hakutaka kufanya kolabo na Kiba […]

Read More..

Rapper wa Kike Chemical Adai Hajawahi Guswa...

Post Image

Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la “I’M SORRY MAMA” mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu azaliwe). Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D’WIKEND CHATSHOW kinachorushwa kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya […]

Read More..

Wema Sepetu: Munalove ni Mshamba

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambae kwa sasa ametibuana na aliekuwa rafiki yake Munalove amesema kuwa Muna ni msamba. Akihujiwa na e newz juu ya  bifu lake na Muna, Wema alidai kuwa  Kudai kuwa yeye huwa hadeal na washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka […]

Read More..

Ommy Dimpoz Afunguka Sababu ya Kufanyakazi ...

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa amerudi kwenye game na kolabo ya wimbo wa ‘Kajiandae’ aliyofanya na Alikiba tena, ametoa sababu ya kuamua kufanya tena kollabo na msanii huyo. Akizungumza kwenye FNL ya East Africa Television na East Africa Radio, Ommy Dimpoz amesema mara ya kwanza alivyofanya kollabo ya Nai Nai na Alikiba ilikuwa ili […]

Read More..