-->

Daily Archives: January 4, 2017

Ferooz: Inamuwia Vigumu Kuachana na Madawa ...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki Ferooz Mrisho ambaye katika miaka ya 2000 alitamba na wimbo wa Starehe ambaye kwa sasa ameathirika na dawa na matumizi ya Madawa ya kulevya, amedai inamuwia vigumu kuachana na matumizi ya dawa hizo. Muimbaji huyo amedai amejikuta akitenga bajeti kubwa ya fedha kwa matumizi ya kutumia dawa. “Ninawaomba wasanii wenzangu wasitumie […]

Read More..

Sitaki ‘Collabo’ na Wasanii wa ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Q Chila amesema hakufanya kolabo na wasanii waliosainiwa kwenye lebo moja ya QS kwa sababu hakwenda pale kwa sababu ya kufanya kolabo na wasanii hao. Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Nay, H_Baba na wengine. Akiongea kupitia eNewz Q Chila amesema kwa sasa anafanya kolabo na wasanii wa nje zaidi ili kuweza kutambulika kimataifa […]

Read More..

Diamond Hapaswi Kujiita Simba – Darassa

Post Image

Msanii wa bongo fleva Darasa ameweka wazi ule mstari wake wa “sio simba, sio chui, sio mamba” kwa kusema Diamond hakupaswa kujiita simba kwani simba ni mnyama ambaye anaweza kuuliwa anapozidiwa nguvu. Akipiga story kupitia eNewz Darasa amesema Diamond ni msanii ambaye amehangaika sana kutoka kimuziki hivyo mafanikio yake na uwezo wake wa muziki alitakiwa ajiite jina lingine kwa […]

Read More..

Young Dee Afungukia Tetesi za Kurudia Unga

Post Image

Young Dee amejibu kwa ufupi kuhusiana na tetesi kuwa amerudi tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya. kiandika maneno mafupi sana kwenye post yake mpya ya Instagram, Young Dee amedai kuwa ‘muda utaongea.’ “Time will Tell… Mi sina tatizo na mtu… Tuombeane kheri tu… Siwezi shindana na maneno,” ameandika rapper huyo. Wiki hii tetesi za […]

Read More..