-->

Daily Archives: January 6, 2017

Pichaz: Jennifer na Patrick wa Kanumba Wali...

Post Image

Vijana hao wawili walifanya vizuri ndani ya filamu ya Uncle JJ pamoja na This Is It wakiwa na marehemu Steven Kanumba. Jennifer ambaye mwaka 2014 alionekana kwenye filamu ya Zena na Betina ya Salma Jabu aka Nisha, amehitimu kidato cha nne mwaka huu. Kwa upande wa Patrick 2016 alihojiwa na mtandao mmoja wa habari nakudai […]

Read More..

Abby Skillz Ndiyo Msanii wa Kwanza Kusainiw...

Post Image

Msanii Abby Skillz aliyerudi rasmi kwenye muziki kwa wimbo wake Averina akiwa na Mr Blue pamoja na Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii wa kwanza kusaini mkataba chini ya ‘Label’ ya msanii Alikiba inayofahamika kama ‘Kings Music’. Abby Skillz amesema hayo kupitia eNEWZ na kusema mpaka sasa label hiyo imeshasaini wasanii kama kumi […]

Read More..

Pichaz: Dua ya Sajuki Ilifanyika Songea

Post Image

Siku ya tarehe 31/12/2016, muigizaji  Wastara Juma alimfanyia dua marehemu mumwe wake, Sajuki huko mkoani Songea. Wastara alifunguka haya; “Naanza kwa kumshukuru mungu wangu anaenipa pumzi ya bule mpaka mda huu Sina budi kusema haya nitakayoyasema kwa ajili mwaka mpya unaonza kesho. Ni miaka 5 na miezi 6 leo imetimia toka furaha yangu ilipoingia dosari, […]

Read More..

Kalapina Akana Kutafuna Mamilioni ya Chid B...

Post Image

Msanii wa Hip Hop na mwanaharakati wa madawa ya kuleva Kalapina amekanusha tetesi za kutapeli milioni 50 zilizotolewa na wadhamini kwa ajili ya kumsaidia Chid Benz kuachana na madawa ya kulevya. Akiongea kupitia eNewz Kalapina amesema hakuna mtu yeyote aliyejitokeza na kutaka kumsaidia Chid Benz bali alijitolea na kupoteza pesa nyingi alivyokuwa anakwenda kumsalimia Chid Benz alipokuwa Soba House. Hata hivyo […]

Read More..

Aunty Ezekiel Katuachia Funzo Juu ya Mapenz...

Post Image

Moja kati ya matatizo ya watanzania, ni kushindwa kusimamia yale tunayoayaamini. Linapokuja suala la mapenzi wengi hujikuta kwenye wakati mgumu hasa ikiwa yule anayempenda anaonekana si wa maana mbele za watu kwa hadhi,kipato na muonekano. Pengine mwaka 2016 mwanadada Aunty Ezekiel alituachia funzo,ukipenda usiangalie wengine wanaonaje fuata moyo wako na wasipooelewa wengine wataelewa mwisho wa […]

Read More..