Ray Kurudi na Nguvu Mpya Kwenye ‘Bong...
Msanii filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka na kuwaomba mashabiki zake kuwa tayari kuipokea kazi yake mpya ya ‘Gate Keeper’ ambayo ina utofauti mkubwa katika kazi zake alizowahi kuzifanya hapo awali. “Filamu yangu mpya itakuwa ya tofauti sana na itahusisha mastaa wengi kama Single Mtambalike ambaye amecheza kama Professa, Kajala Masanja aliyecheza kama mwananfunzi wa chuo kikuu, Baba […]
Read More..





