-->

Daily Archives: September 25, 2017

Mwakyembe:Bifu la Diamond na Ali Kiba wacha...

Post Image

Waziri wa habari utamaduni na michezo DKT. Harrison Mwakyembe amesema bifu la Diamond na Ali Kiba linafaa kuendelea sababu linaleta tija kwenye muziki. “Kama kuna ushindani kati ya Alikiba na Diamond ambao ni kiuweledi, kitaaluma basi mimi nafikirii tungeuendeleza zaidi, hamna sababu ya kuwasuluhisha, waendelee kushindani vizuri tupate muziki bora.” “Kwa hiyo mimi naomba Watanzania […]

Read More..

Ningekuwa Kibaka au Sheikh-Dogo Janja

Post Image

Rapa Dogo Janja mwenye hit ya Ngarenaro amefunguka kama asingekuwa mwanamuziki na kupata mafanikio basi angekuwa mwizi au sheikh kutokana na maisha aliyoishi huko awali. Akizungumza kwenye Top 20 ya East Africa Radio, ndani ya Back stage, Dogo Janja amesema kuwa  kama asingefanikiwa kwenye muziki basi kwenye maisha yake angeendelea na kuiba au angebadilika na […]

Read More..

Msikie Rais wa Manzese Akifunguka

Post Image

MASHABIKI wa muziki wa kizazi kipya nchini wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya ukimya wa Tip Top Connection na kuamini limekufa baada ya bosi wao, Babu Tale kukimbilia WCB kupiga hela. Rais wa Manzese, Madee amemkingia kifua bosi wake huyo na kufunguka kuhusu kundi hilo lililowaibua nyota mbalimbali wanaotamba nchini kwa sasa. Madee anasema watu […]

Read More..

Zari The Boss Lady Alitambua Kitambo Usalit...

Post Image

UHUSIANO imara wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ umeanza kulega lega baada ya kutikiswa vibaya na mwanamitindo, Hamisa Mobetto. Kapo hiyo yenye wafuasi wengi Afrika Mashariki imefanya mambo lukuki ya maendeleo, siyo kwenye mapenzi tu bali uhusiano wao umeingia mpaka katika kazi na […]

Read More..

Ben Pol Afungukia Ishu ya Ebitoke

Post Image

Msanii Ben Pol ambaye inasemekana alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mchekeshaji Ebitoke, sasa hivi anaonekana kumuepuka msanii huyo kwa sababu ambazo hazijajulikana kwa haraka, kitendo kinachoonesha kumuumiza kihisia Ebitoke. Ben Pol ambaye alitafutwa kwa kipindi kirefu na mwandishi wetu na kufanikiwa kumpata kwa shida kutokana na ubize aliosema  anao kwa kipindi hiki, alipomueleza kwamba anataka kuzungumzia […]

Read More..