-->

Daily Archives: February 23, 2018

Kumbe Ndoa ya Mama Diamond Iko Hivi

Post Image

HABARI kubwa mjini ni Zari ‘Thebosslady’ kumbwaga baba watoto wake, Diamond Platinumz na umaarufu na mkwanja wake wote. Diamond a.k.a Chibu alimwagwa siku ya Wapendanao (Valentine Day), ambapo mengi yamezungumzwa mpaka sasa lakini, jamaa amepiga kimya tu. Baada ya Mwanaspoti kumsaka kwa muda na kupishana naye, limefanikiwa kumnasa mama yake Diamond, Sanura Kassim, ambaye ni […]

Read More..

Aslay na Nandy wapigwa faini milioni 5

Post Image

Wasanii Aslay na Nandy wamepigwa faini ya milioni 5 kwa pamoja kutokana na kukiri, kukubali kosa kuimba wimbo wa ‘Subalkheri Mpenzi’ bila kufanya mawasiliano na wamiliki wa wimbo huo ambao ni kikundi cha Utamaduni cha taarab asilia visiwani Zanzibar. Kikundi hicho kilikusudia kuwafikisha mahakamani wasanii hao lakini kabla ya kuchukua hatu hiyo Aslay na Nandy […]

Read More..

Abdukiba amefunguka baada ya video yake na ...

Post Image

Mwanamziki wa bongo fleva kutokea king music, Abdukiba amekanusha vikali kutoka kimapenzi na mpenzi wa mwanamziki mwenzie Rayvanny aitwae Fayvanny. Mwanamziki wa bongo fleva Abdu kiba pia ni maarufu sana kwa sababu ya undugu alionao na staa wa bongo fleva Alikiba, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na iliyomuonesha yeye na mke wake wa Rayvanny. […]

Read More..