Daily Archives: February 6, 2018

Muonekano Mpya wa Nywele za Kijani za Ben P...

Post Image

Wakati wabongo wakiendelea kumshambulia mitandaoni kwa aina ya mtindo wa kupaka rangi za kijani kwenye nywele zake, Msanii Ben Pol ameneemeka na staili hiyo kwani ameshalamba dili nono na kampuni ya Green Telecom inayojihusisha na masuala ya mawasiliano na IT. Ben Pol amethibitisha taarifa hizo kwenye mahojiano yake na Bongo5 ambapo amesema ni kweli amepata […]

Read More..

Fid Q Amuweka Wazi Mpenzi Wake Awapiga Stop...

Post Image

Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa  mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi. Fid Q amesema ameamua kupost picha kwenye mitandao yake  ya kijamii ili kupunguza wasichana wengine kumtumia meseji za kumsumbua lakini pia kuwaonyesha mashabiki zake kwamba kwa sasa yupo katika […]

Read More..