-->

Daily Archives: February 22, 2018

Nay wa Mitego: Naangaikia Kuupeleka Mziki M...

Post Image

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na kibao chake kipya kilichopewa jina la ‘Mikono Juu’ amefunguka na kudai hawezi kujibishana na mtu yeyote kwa sasa kwani yeye anachokihangaikia ni kupeleka mbele muziki wake ili watu wake waweze kuupata. Nay ameeleza hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo ‘PB’ inayorushwa na East Africa Radio na […]

Read More..

Habari za Mastaa Irene Uwoya awatolea uvivu...

Post Image

Kupitia kwenye ukurasa wa instagram wa muigizaji Irene Uwoya ameamua kuyaanika ya moyoni kuhusu wanawake ambao hawatoi ushirikiano kwa wanawake wenzao na hupenda kuona wenzao wakianguka au kufeli kimaisha ambapo hufurahishwa na jambo hilo. Kupitia ukurasa wa instagram wa Irene Uwoya ameandika “Hivi kwanin wanawake tunakuwa hatupendani???yani najiulizaga sana badala sisi tushirikiane ndo kwanza tunarudishana […]

Read More..

Rachel Amkana TID

Post Image

Dar es Salaam. Mwanamuziki wa Bongo, Rachel amesema hajawahi kutoka kimapenzi na TID kama inavyokuwa ikiripotiwa awali. Muimbaji huyo anayetamba na ngoma ‘Same Boy’ alisema taarifa hizo hazina ukweli wowote na wala hajawahi kubeba ujauzito wa TID. “Niseme tu TID siyo bwana yangu, siyo mtu wangu, TID hawezi kuwa mtu wangu, TID mkubwa ujue, ana […]

Read More..

Shilole Afunguka Kuhusu Kupigana Na Mumewe ...

Post Image

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema hawezi kuthubutu kwa sasa kupigana na mume wake Uchebe kwani sasa amekuwa mtu mzima na mapenzi ya kupigana yalikuwa ya utoto. Shilole amebainisha hayo kupitia eNewz inayorushwa na EATV baada ya kuzoeleka na watu wengi kwa tabia yake ya kupiga wanaume ambao anakuwa nao Amefunguka na […]

Read More..