Daily Archives: February 3, 2018

VideoMPYA: “Tuheshimiane” kutoka k...

Post Image

Baaada ya muda na kimya kirefu hatimae leo msanii Mr. Nice katuletea ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Tuheshimiane”, chini ya uongozi wa Pizzo Mtena ikiwa imetengenezwa na I Studio. Bofya hapa chini kuitazama

Read More..

Ukweli Kuhusu Zawadi ya Gari Aliyoahidi Har...

Post Image

Utakumbuka mapema mwaka huu msanii Shilole alifanya harusi mara baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake, Uchebe. Mastaa kibao walimzawadia vitu mbali mbali, miongoni mwao ni Harmonize ambaye aliahidi kumnunulia Shilole gari aina ya Noah. Hata hivyo Shilole amesema bado hajakabidhiwa gari hilo ila Harmonize kamdhibitishia kuwa ameshalinunua na kilichobaki ni makabidhiano mbele ya vyombo […]

Read More..

Mume wa Shilole Aukana Usangoma

Post Image

MUME wa mwanamuziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Ashrafu Uchebe amekana kuwa mganga (Sangoma) wa kutumia vitabu na kuweka wazi kuwa kazi yake ni ufundi wa magari. Maelezo hayo yamekuja kutokana na madai yaliyokuwa yumeenea kwamba, mbali na kufanya mambo mengine lakini pia anatibu kwa kutumia Quran na amekuwa akifanya hivyo tangu alipokuwa Zanzibar. Akizungumza na Risasi […]

Read More..

Multichoice imekuja na THE PUNGUZO- Miezi m...

Post Image

Punde tu baada ya kumaliza ofa mahsusi ya kufunga mwaka, MultiChoice Tanzania imetangaza neema kwa wateja wake wapya watakaojiunga kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka ambapo watajipatia ofa ya kifurushi kwa muda wa miezi miwili bure! THE PUNGUZO- Ni Kwa shilingi 79,000 tu, mteja anapata vifaa vyote vya kujiunga na DStv ikiwemo Dish, Dikoda, Rimoti, […]

Read More..