-->

Daily Archives: February 11, 2018

AY kafunga ndoa ya siri Rwanda?

Post Image

February 11, 2018 nikusogezee stori ya Staa Mkongwe wa Bongofleva Ambwene Yesaya ambaye wengi tunamfahamu kama AY  hii stori inatokea nchini Rwanda February 10, 2018 zime-trend picha na habari katika mitandao ya kijamii kuwa staa huyo kafunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Remy. AY ameripotiwa kufunga ndoa nchini Rwanda ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy, inaripotiwa kuwa harusi ya AY […]

Read More..

Taarifa kutoka Hospitali aliyopo Wastara ku...

Post Image

February 10, 2018 imetolewa taarifa na Masoud Kaftany ambaye ni Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano katika chama cha Waigizaji Kinondoni, kuhusu Muigizaji Wastara Juma taarifa hiyo inasema Wastara ameshafanyiwa Vipimo (Operation ) na anaendelea kupatiwa Matibabu. Muigizaji Wastara ambaye yupo katika Hospitali ya Saifee (Mumbai ) Nchini India anaendelea vizuri na siku hiyo ya jana […]

Read More..