Daily Archives: February 26, 2018

MSAANI MPYA : Rapa mkali anayekuja kwa kasi...

Post Image

Rapa mkali anayekuja kwa kasi Bongo aitwaye Orbit. Kwa sasa ana nyimbo mbili ambazo ni; MAKAVELI na BUKU KUWA LAKI. Nyimbo yake ya kwanza itwayo Makaveli ilitoka Augusti 13, 2016 ambayo inachukua dakika tatu na sekunde kumi , 3:10. Bofya “PLAY” kuisikiliza Nyimbo yake ya pili itwayo BUKU KUWA LAKI imetoka mwaka huu 2018 tarehe Feb 23, […]

Read More..

Sugu, Masonga jela miezi mitano

Post Image

Mbeya. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewatia hatiani mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga na kuwahukumu kifungo cha miezi mitano jela. Hukumu hiyo imetolewa leo Februari 26,2018 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Michael Mteite. Sugu na Masonga wamehukumiwa kwa […]

Read More..

Shahidi: Wema alinieleza anatumia bangi kam...

Post Image

Shahidi wa tatu wa upande wa mashtaka, WP 6441 DC Mary (35) ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu alimueleza kuwa anatumia bangi kama starehe. Shahidi huyo amedai hayo leo Februari 26, 2018 wakati akiongozwa kutoa ushahidi na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas […]

Read More..

Vanessa Mdee Afunguka Kuvunjwa Moyo

Post Image

Malkia wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi, Vanessa Mdee amefunguka na kudai anamshukuru Mungu kwa kupokelewa vizuri albamu ya ‘Money Monday’ mpaka sasa japokuwa kuna baadhi ya watu wanataka kumvunja moyo. Vanessa amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha ‘FRIDAY NIGHT LIVE’ (FNL) kutoka EATV baada ya kuulizwa swali na […]

Read More..

Mtoto wa Mwigizaji Ray na Chuchu Hans Apata...

Post Image

MTOTO wa Staa wa Filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, aitwaye Jaden Kigosi, amepata shavu kutoka kwa wazazi wake baada ya kumfungulia  akaunti ya ‘NMB Mtoto Akaunti’ kwa ajili ya akiba itakayoweza kumsaidia hapo baadaye. Akizungumza na waandishi wa habari  wakati wa kumfungulia akaunti hiyo, Makao Makuu ya Benki ya NMB, Posta jijini Dar, Ray alisema […]

Read More..