-->

Daily Archives: February 16, 2018

Vanessa Mdee anaikubali couple ya P Diddy n...

Post Image

muziki Cassie kutokea Marekani inafahamika kuwa yupo katika uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake P Diddy ambao wamekuwa katika Uhusiano kwa kipindi kirefu hadi sasa. kupitia instagram account ya Cassie alipost video akiwa na P Diddy na kuandika caption nzuri kwaajili ya mpenzi wake P Diddy siku ya valentines February 14,2018 na kusema “Nawatakia siku ya wapendanao kutoka kwangu na mpenzi wangu” Katika comments msanii wa Bongo Fleva ameonekana kuikubali […]

Read More..

Wolper Atoboa Hii Kuhusu Wanaume wa Kikongo

Post Image

MUIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Jaqueline Wolper ‘Jack’ anasema kuwa amewashitukia wanaume si wakuiwategeemea kwa maisha endelevu kwani unaweza kupotea ukaamini unapendwa kumbe yupo naye kikazi, hivyo akili yake anawekeza katika mambo yake ya kibiashara ni kujitaidi kuwa mbunifu . Kuna wanaume wanajua kusifia hasa ukimpata mwanaume wa Kikongo unahisi dunia yote ni mali […]

Read More..

Hukumu kesi ya Masogange Februari 21

Post Image

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Februari 21,2018 itatoa hukumu kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili msanii, Agnes Gerald maarufu Masogange. Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa na hakimu mkazi mkuu, Wilbard Mashauri baada ya upande wa mashtaka ukiongozwa na wakili Costantine Kakula kuwaita mashahidi watatu kutoa ushahidi dhidi ya Masogange na kuufunga […]

Read More..