Daily Archives: February 1, 2018

Msanii Radio afariki dunia

Post Image

Uganda. Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu Radio amefariki dunia jana¬† alhamisi saa sita asubuhi. Mwandaaji wa matamasha, Balaam Barugahara alimthibitishia mwandishi wa Dailly Monitor kuwa msanii huyo alifariki wakati akiendelea na matibabu hospitalini. Msanii huyo ambaye alikuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel, tangu Januari 23 mwaka huu hali yake ilikuwa mbaya […]

Read More..

Mume Ampiga Stop Shamsa Mitandaoni

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford anadaiwa kupigwa stop kutumia mitandao ya kijamii na mumewe, Chid Mapenzi na kwa muda sasa haonekani hasa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambako aliwaaga kabisa mashabiki zake. Chanzo kilieleza kwamba Chid Mapenzi alimpiga marufuku mkewe Shamsa kutumia mitandao ya kijamii kwa kuwa muda mwingi alikuwa akiutumia kwenye […]

Read More..