Daily Archives: February 2, 2018

Ishu ya Tunda, Aunt Ezekiel Iko Hivi!

Post Image

AREMBO wa Bongo hawajawahi kuwa salama wala kumuacha mtu salama. Safari hii mambo ni moto kwelikweli kwa mastaa wawili wa kike, Aunt Ezekiel na Tunda. Wadada hao wenye mvuto wa kipekee ndani ya Bongo, wamelianzisha kinoma huko kwenye mitandao ya kijamii na hali kwa sasa si shwari. Ishu yao ilianza kama utani vile, lakini baadaye […]

Read More..

Tumenusurika kumwagwa damu – Shilawadu

Post Image

Kupitia mtayarishaji wa kipindi cha Shilawadu kinachoruka Clouds Tv, Benedict Noel amebaisha kuwa kazi ya kukusanya material ya kipindi hicho ni kigumu kutokana na mambo wanayopitia wakati wa kutafuta habari ya kipindi husika. Mtayarishaji huyo amebaibsha hayo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram wa kipindi hicho kwa kuandika mambo wanayokutana nayo na waliyokutana nayo hivi […]

Read More..

Bongo Movies Kuonyeshwa Kwenye ‘Porta...

Post Image

Mwaka mpya mambo mapya, Steps Entertainment imeleta portable cinema ambayo inawawezesha wapenzi wa filamu kujionea filamu kwenye screen kubwa ikiwafata mtaani. Jionee picha hizi za hivi karibu kwenye viwanja vya jangwani.  

Read More..

Dude Afunguka ‘Kumpiga’ JB

Post Image

Mwigizaji Kulwa Kikumba maarufu zaidi kama Dude amefunguka na kudai ameshawahi kumuingiza mjini msanii mwenzake Jacob Stepheni (JB) kwa kumtapeli laki moja na thelathini japokuwa mwenyewe alifahamu. Dude ameeleza hayo kwenye Big Chawa ndani ya kipindi cha Planet Bongo ya East Afrika Radio baada ya kuulizwa ni msanii gani amekaa kizembe zembe ambaye anaweza akatapeliwa […]

Read More..