-->

Daily Archives: February 8, 2018

Niva atambia kimombo

Post Image

MWIGIZAJI Mohammed Zubery ‘Niva’, amefichua kuwa kujifunza kwake lugha ya Kiingereza kumemfungulia njia kwani sasa safari za kutoka na kwenda nje ya nchi zinajitokeza na hana hofu tena katika suala la mawasiliano na watu mbalimbali. “Nawaambia kabisa, kila siku wasanii wenzangu wajifunze lugha tofauti, kwani nimesoma kozi ya Kiingereza na imeanza kujibu bwana safari zimeanza […]

Read More..

Wema Sepetu : Mahakamani Kisutu.

Post Image

Msanii Wema Sepetu leo amefika Mahakamani kufuatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya Bangi Wema amefika Mahakamani hapo akiwa na Wakili Albert Msando aliyetangaza kumtetea baada ya Wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea msanii huyo mrembo Wema Sepetu ya kukutwa na msokoto wa bangi imesikilizwa leo February 8, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi […]

Read More..

Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto alivyofi...

Post Image

February 8, 2018 Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na Mzazi mwenzie Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto. Nimekuwekea Video ya Diamond na Hamisa walivyofika Mahakamani Hatua ya Diamond na Mobetto kufika Mahakamani inatokana na Mobetto kufungua shauri kuhusu matunzo ya mtoto aliyezaa na Diamond. Awali Mahakama hiyo ilitupilia mbali shauri hilo baada ya Diamond kuwasilisha pingamizi dhidi ya […]

Read More..