-->

Daily Archives: February 19, 2018

Diana Ajipanga Kumuombea Lulu

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Diana Kimari, amesema anajipanga kwenda Gereza la Segerea jijini Dar kumuombea aliyekuwa swahiba wake, Elizabeth Maichael ‘Lulu’ anayetumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kuua bila kukusudia aliyekuwa msanii mwenzake, Steven Kanumba. Akizungumza na gazeti hili, Diana alisema kuwa, zaidi ya mara tatu alishajipanga kwenda gerezani kumuona lakini hakuweza […]

Read More..

Uganga Basi – Mzee Majuto

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mzee Majuto amefunguka na kuweka wazi kwamba sinema ndio kitu pekee kinachomfanya aweze kutamba mjini ‘kuishi’ huku akidai ana kazi nane ameshazifanya ameziweka ndani tu, na uganga basi ndio imetoka. Mzee Majuto amesema hayo wakati alipokuwa akipiga stori mbili tatu alipotembelewa na wasanii wenzake Jacob Stephen ‘JB’ pamoja na Single Mtambalike […]

Read More..

Siyo Siri Hata Steve Nyerere Amechoka!

Post Image

KOMEDIANI wa Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ anaamini kuwa, soko la sinema za Kibongo haliwezi kubadilika kama sura za waigizaji ni zilezile za kila siku ambazo hata yeye amezichoka. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Steve alisema kuwa, kama kila mtu anapotazama sinema anakutana na sura ya Kajala Masanja, Shamsa Ford, Aunt Ezekiel na wengine, watu wanachoka na […]

Read More..

VIDEOMPYA: Witnesz “Kwani Shngapi”

Post Image

Leo February 19,2o18 msanii Witnesz “Kibonge mwepesi” ametuletea  Video ya wimbo wake mpya “Kwani shngapi” ikiwa ni ngoma ambayo amesimama mwenyewe. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama

Read More..

Kuolewa na Kuoa ni Ufungwa – Rayuu

Post Image

MUIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo movie Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amedai kuwa maisha ya ndoa yanahitaji umakini mkubwa sana na kabla ya mtu kuingia katika uhusiano hadi kufikia watu kuoana lazima kuwe na utulivu mkubwa sana kwani moja ya changamoto kubwa ni mama wakwe na mawifi. “Kuolewa au kuoa ni ufungwa kuna wakati […]

Read More..

AUDIO MPYA: Rayvanny , Jason derulo na Fren...

Post Image

Moja kati ya stori zilizochukua headlines kwa mwaka 2017 ni pamoja na msanii kutokea WCB Rayvanny kutangaza kuwa ameshirikishwa katika ngoma moja na msanii kutokea pande za Marekani Jason Derulo. Usiku wa February 19 2018 audio ya ngoma hiyo imetoka rasmi ndani ya ngoma hiyo wakiwa wameshirikishwa Rayvanny wa WCB na mkali French Montana, goma yenyewe inaitwa Tip Toe Remix.

Read More..