Harmorapa ni Level Nyingine- P Funk Majani
Producer mkongwe na mwenye heshima yake P Funk Majani ameibuka na kumzungumzia huku akimsifia msanii anayeibukia kwa kasi katika bongo fleva, Harmorapa na kusema kuwa rapa huyo ni “level nyingine”. Tangu Msanii Harmorapa ameingia kwenye muziki kwa kuanza kujifafanisha na msanii Harmonize, kila wakati rapa huyo amekuwa akiingia kwenye ‘headline’ mbalimbali na kuzungumziwa na wasanii wengi […]
Read More..





