-->

Idris Sultan Asimulia Nafasi Aliyocheza Kwe...

Post Image

MCHEKESHAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mshiriki wa shindano na ‘Big Brother Africa’, Idris Sultan amefunguka amefunguka kwa kuwaonjesha mashabiki wake uhusika aliouvaa kwenye filamu ya ‘Kiumeni’. Kupitia mtandao wa Instagram, Idris amesimulia kwa kuandika, “Humu ndani nauza madawa kwahiyo nina mpunga wa kumwaga halafu nipo kitaa, demu wangu wa zamani anakuja na mwanaume kumtambulisha kwao na […]

Read More..

Neno la Shamsa Ford kwa Mumewe Chid Mapenzi

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye ni mke wa Chid Mapenzi amefunguka ya moyoni na kusema hata kama dunia nzima itakuwa ikimzomea mumewe, yeye ataendelea kumpenda kwani kitendo hicho hakiwezi kubadilisha mapenzi yake kwake. Shamsa Ford amesema hayo kutokana na ukweli kwamba mumewe ni kati ya watu ambao wameitwa Kituo cha Polisi na Mkuu wa […]

Read More..

Flora Mbasha Achumbiwa, Kuolewa Tena

Post Image

Dar es Salaam. Baada ya wanandoa ambao ni wanamuziki maarufu wa nyimbo za Injili, kuingia katika mzozo miaka minne iliyopita, mmoja wao Flora Mbasha amechumbiwa na anatarajiwa kufunga ndoa ya pili hivi karibuni mkoani Mwanza. Sakata hilo linaweza kuibua mjadala miongoni mwa waumini wa dini ya Kikristo ambayo pamoja na kuruhusu ndoa kuvunjika, ni nadra […]

Read More..

Prof Jay, Mwana Fa, Nash Mc Tunahitaji Vite...

Post Image

MUZIKI wa Hip hop au Kemo kama unavyoitwa kitaalamu ni mama wa aina nyingi za muziki tunaousikia, umekuwa na mzuka wa aina yake kwa mashabiki hasa pale MC anapokuwa jukwaani akimwaga ladha ya mistari kwa mistari konde. Nadhani asili na chimbuko lake ndiyo limefanya uwe muziki wenye amsha amsha kubwa tofauti na aina zingine za […]

Read More..

Waziri Nape Jukwaani na Ray C, Leaders Kwen...

Post Image

WAZIRI wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nauye kuonyesha kweli anausapoti muziki wa Bongo fleva ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha sanaa na kuwahamasisha vijana wajiajiri kupitia sanaa, Nape alipanda jukwaani kuimba pamoja na Ray c. Ni katika tamasha lilofanyika  Leaders Club ambako kulikuwa na shoo baab kubwa iliyokuwa ikiwakutanisha vinara wa RnB hapa Bongo, […]

Read More..

Aunt Ezekiel Amzuia Mpenzi Wake Kuingia Bon...

Post Image

Msanii wa bongo movie Aunt Ezekiel amesema hana mpango wa kumuinginza mpenzi wake Mose Iyobo kwenye tasnia ya bongo movie. Akionge kupitia eNewz Aunt amesema “Napenda anavyokuwa anacheza na sijawahi kuwaza kumtoa kwenye kipaji chake na kumuingiza kwenye movie  hata kama akitaka kuacha kipaji chake ni bora ajiingize kwenye biashara lakini siyo kujiingiza kwenye movie kwani siyo kipaji […]

Read More..

MOVIE CLIP: Gate Keeper- Kutoka kwa Ray, Ri...

Post Image

Filamu ya GATE KEEPER inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 6 mwezi wa tatu mwaka huu. GATE KEEPER imechezwa na mastaa kibao katika tasnia ya bongo movie , kutana na Vincent Kigosi (Ray) Single Mtambalike (Richie), Kajala Masanja, Nicole Franklyin. Tazama Trailer ya Filamu hii hapa chini Official Trailer

Read More..

VIDEO: Fid Q Afungukia Ishu ya Irene Uwoya ...

Post Image

Baada ya malkia wa filamu nchini Irene Uwoya kutoa kauli yake ya kuwa anapenda wanaume wagumu na kumtolea mfano Fid Q, rapper huyo amefunguka na kuzungumzia kauli ya muigizaji huyo. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Fid Q amedai yeye siyo mwanaume mzuri lakini ana good look. “Mimi wakiitwa wanaume wabaya siwezi kwenda lakini pia wakiitwa […]

Read More..

Kilichomfanya Nahreel Apagawe kwa Aika, Hik...

Post Image

Msanii na producer Nahreel amefunguka sababu kubwa iliyomfanya kumpenda mpenzi wake Aika, ambaye wanaunda naye kundi la Navy Kenzo kuwa ni kutokana na uzuri wa mashavu yake na siyo hips wala kifua kizuri. Nahreel aliyasema hayo alipokuwa akiongea na EATV na kusema watu wengi wanadhani huenda alimpenda Aika kutokana na uzuri wake wa sura, uzuri wa […]

Read More..

Polisi ‘Wammulika’ Mbowe

Post Image

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa endapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hataripoti polisi kesho, atatafutwa kwa namna ambayo jeshi hilo litaona inafaa.   Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jana kuwa Mbowe kupitia kwa baadhi ya viongozi aliwajulisha angeripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, Jumatano Februari 15, […]

Read More..

Sakata la Q-Chief, Qs Mhonda Nyuma Yake Kun...

Post Image

HAINA tofauti sana na zile tetesi za usajili tunazo zisikia kwenye ulimwengu wa soka, ila safari hii tunazisikia kwenye tasnia ya muziki kufuatia mkongwe wa Bongo Fleva, Abubakary Katwila ‘Q Chief’ kuhusishwa kutua pale Wasafi Classic Baby (WCB). Uvumi huo umepata nguvu siku chache baada ya Q Chief kutangaza kuvunja mkataba na uongozi wake chini […]

Read More..

VIDEO:Mwakyembe Alivyozidiwa Ujanja na Agne...

Post Image

Waziri wa Sheria na Katiba Dkt. Harrison Mwakyembe ameendelea kufunguka jinsi alivyokwama kudhibiti upitishwaji wa dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam wakati alipokuwa Waziri wa Uchukuzi hadi kuzidiwa kete na Agnes Masogange. Waziri Mwakyembe akiwa kwenye kipindi cha East Africa Breakfast amesimulia kilichotokea wakati alipotaka kumdhibiti binti mmoja aliyedaiwa kupitisha […]

Read More..

Martin Kadinda adai RC Makonda Hakukosea Ku...

Post Image

Meneja wa zamani wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amedai Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda hakukosea kumtaja Wema Sepetu kwenye list yake ya watuhumiwa wa biashara haramu ya madawa ya kulevya kutokana na aina ya marafiki ambao amekuwa nao. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Martin amedai yeye alitumia nguvu nyingi kumshauri muigizaji […]

Read More..

Waziri Nape Afanya Ziara ya Kushitukiza Kar...

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye aongoza timu yake katika operesheni maalumu ya kufanya msako mkali wa wauzaji wa kazi za wasanii bila vibali vya Bodi ya filamu ya Tanzania. Waziri huyo amevamia maduka yanayouza CD FEKI pamoja na ofisi ambayo inajihusisha na kurudufu kazi za wasanii kutoka ndani na nje […]

Read More..

Baada ya Kumuita Nyani, Iyobo Amvaa Tena Ha...

Post Image

KIONGOZI wa madansa ambaye ni dansa tegemezi wa Wasafi Classic Baby (WCB) Mose Iyobo amefunguka kuwa yeye hana imani na Harmorapa na anashangaa anavyotajwa kila mahali kwani yeye hajawahi kusikia kazi yake yoyote hivyo hajui uwezo wake kimuziki. Iyobo aliendelea kwa kutoa povu kuwa yeye anamchukulia Harmorapa kama mtu aliyekurupuka kwenye muziki na hajui ni […]

Read More..

Ray C: Namtamani Ray Vanny

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Ray C amefunguka na kusema anamtamani sana msanii kutoka katika label ya WCB Wasafi Ray Vanny na amekuwa akipenda sana kazi zake na kuzisikiliza, hivyo anatamani kufanya naye kazi hata moja tu. Ray C alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema anasikia Ray […]

Read More..

Alikiba Ampagawisha Waziri Nape Nnauye

Post Image

Msanii Alikiba ambaye leo ameachia remix ya wimbo wake wa ‘Aje’ ameonesha kumkosha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kiasi cha Waziri huyo kusema kuwa Alikiba ni kati ya wasanii wanaofanya ajisikie fahari kuwa Waziri Mhe. Nape Nnauye amesema hayo leo baada ya msanii huyo kukabidhiwa tuzo yake katika kituo kimoja […]

Read More..

Queen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi

Post Image

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake ya sasa maana yeye pia anahitaji kupenda na kupendwa kama walivyo watu wengine. Akichonga na Showbiz Xtra, Queen Darleen alisema kuwa, tangu aachane na mzazi mwenziye […]

Read More..