-->

Daily Archives: June 26, 2016

Picha:Uwoya Amtia Majaribuni Richie

Post Image

WAKATI Waislam wakiwa kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya juzikati alimtia majaribuni msanii mwenzake Single Mtambalike ‘Richie’ walipokuwa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar kulikokuwa na harusi ya mdogo wake Steve Mengere ‘Steve Nyerere’, Happy Mengere. Kwenye ‘mnuso’ huo, Uwoya aliyekuwa amevalia kivazi kilichoacha mapaja yake wazi, […]

Read More..

Dude Alia na Hili Bongo Muvi

Post Image

Muongozaji na mwigizaji mahiri wa filamu, Kulwa Kikumba ‘Dude’ anasema kuwa ili tasnia ya filamu isonge mbele lazima wasanii na wadau wote washikane na kuwa kitu kimoja ndio maslahi ya kweli yataoneka na kusonga mbele na kuijenga tasnia ya filamu. “Tukiwa na umoja tunaweza kuwa na nguvu katika jamii, angalia mfano juzi hivi karibuni uliibuka […]

Read More..

Chozi la Mobeto Laana Kwa Lulu!

Post Image

Kufuatia staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kudaiwa kumpora mwanaume aliyezaa naye, chozi la mwanamitindo anayeuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Hamisa Hassan Mobeto linaelezwa kuwa ni laana tosha kwa mwigizaji huyo. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Mobeto, mrembo huyo ambaye ni sura ya mauzo kwenye matangazo ya […]

Read More..

Afande Sele Awapa Makavu Wasanii Hawa

Post Image

Msanii mkongwe wa bongo fleva, Afande Sele ameongea na Enews na kuongelea swala la wasanii wengi wa kitanzania ‘kufeki’ maisha yao halisi ikiwemo kubadili hata rangi za ngozi zao na kujiongezea weupe na wakati mwingine hata kubadilisha asili yao. Hata hivyo Afande Sele amesema ni kutokana na uelewa wao kuwa mdogo kwa kuwa kubadilisha muonekano […]

Read More..