-->

Daily Archives: June 4, 2016

Kajala Amwanika Bwana Mpya!

Post Image

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alimwanika bwana’ke mpya, kufuatia kupigana kibuti na Mbongo Fleva, Quick Raca, Risasi linakujuza. Katika Pool Party ya staa mwenzao, Shilole, iliyofanyika katika uwanja wa ofisi ya BKT iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam, Kajala alimtambulisha mwanaume huyo bila kumtaja jina, akisema […]

Read More..

Wolper Afungukia Alivyondanganyika Kwenda A...

Post Image

Msanii wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amesema alijikuta akidanganyika kwenda Afrika Kusini kwasababu alitaka akasomee Kiingereza, lugha anayoamini ni muhimu wake. Akiongea kwenye kipindi cha Take One, kinachoruka kupitia Clouds TV, Wolper amesema kuwa chuki zilizopo kwenye kiwanda cha filamu na tatizo la kutoijua lugha hiyo ndiyo sababu nyingine iliyomfanya akubali kumfuata mpenzi wake Mkongo […]

Read More..

Mboto Ataja Kirusi Hatari Bongo Muvi

Post Image

KAMA ni kipaji amejaliwa na anajua kikitumia vyema. Haji Salim maarufu kama Mboto ni mchekeshaji mkubwa hapa Bongo aliyefanikiwa kuiteka hadhira yake. Ubunifu wake ni kati ya silaha zinazomfanya akubalike zaidi. Nje ya kamera, Mboto hana maringo, ni msikivu na mpole wa kiasi lakini ukiwa naye karibu andaa mbavu zako, maana vituko vyake vinaweza kuchanachana […]

Read More..

Irene Uwoya Kuja na Hii Mpya

Post Image

Mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya baada ya ukimya wa muda mrefu bila kuachia kazi, anajipanga kuachia tamthilia yake mpya iitwayo ‘Drama Queen’. Akiongea na Bongo5 Alhamisi hii, Uwoya amesema tamthilia kwa sasa zinalipa vizuri kutokana na runinga nyingi kuhitaji tamthilia. “Nataka kufanya tamthilia ambayo inaitwa Drama Queen,” alisema Uwoya “Mimi ndio Drama Queen mwenyewe, na […]

Read More..

Diamond Platnumz Afunguka Kuhusu Wema Sepet...

Post Image

Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani imefika wakati labda Wema Sepetu ameona hakuna sababu yeye kuendelea kumchukua Diamond Platnumz na ndiyo maana ameonyesha upendo kwa kusupport kazi zake na za wasanii kutoka kwenye Label yake. “Kuna wakati inafika watu mnakuwa mmekuwa labda, […]

Read More..