-->

Daily Archives: June 19, 2016

Mpira Dakika 90 Unachosha- Wema Sepetu

Post Image

Mrembo na staa wa filamu za Kitanzania, Wema Sepetu, amefunguka kuwa mchezo  wa soka unamchosha kuangalia kwa kuwa unatumia muda mrefu wa dakika 90 huku wachezaji wake wakihangaika mno kutafuta bao tofauti na mpira wa kikapu. Wema Sepetu, alilidokeza Swaggaz, kuwa mara nyingi akiwa nyumbani kwake huwa anaangalia mpira wa kikapu kwani hauchoshi na wachezaji […]

Read More..

Alikiba:Unaweza Nichukia, Ukapenda Muziki W...

Post Image

Msanii Alikiba amefunguka na kusema kuwa muziki hauna siri na muziki hauna tofauti kati ya mtu na mtu kwani unaweza kuwa una chuki na yeye lakini akiimba muziki mzuri ukapenda kazi yake na kuimba. Alikiba alizidi kutoa ufafanuzi kuwa kama binadamu inawezekana ukatoa labda humpendi mtu fulani au msanii fulani kutokana na mambo yake lakini […]

Read More..

Uwoya na Skendo ya Kubakwa!

Post Image

Untold story! Skendo ambayo haijawahi kuandikwa wala kusimuliwa popote inayomhusu mwigizaji ‘hot’ wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krish’ ni juu ya madai ya kubakwa na mfanyabiashara maarufu wa Kihindi jijini Dar (jina linahifadhiwa kwa sasa), alipokuwa na umri wa miaka 18 ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 28, Ijumaa limefukunyua na […]

Read More..

PetitMan:Sipo Endless Fame, Sina Tatizo na ...

Post Image

Aliyekuwa meneja wa wasanii walikuwa kwenye kampuni ya Endless Fame chini ya Wema Sepetu,PetitMan amesema kuwa kwa sasa hayupo tena kwenye kampuni hiyo kutokana na matatizo ya kifamilia lakini hata tatizo na Wema Sepetu na kuwa wanaongea kama kawaida. ‘’Endless Fame nilikuwa kama ‘Coordinator’ na pia nilikuwa meneja wa wasanii, kwa sasa hivi nimesimama kufanya […]

Read More..

Ray C Apelekwa ‘Sober House’ Bagamoyo

Post Image

Muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Ijumaa hii amepelekwa Life and Hope & Rehabilitation Centre (Sober House) iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuanacha na matumizi ya Madawa ya kulevya, uongozi wa sober hiyo umethibitisha.   Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku moja toka aonekane katika video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii […]

Read More..