-->

Daily Archives: June 27, 2016

Snura Afunguka Kupigwa Chini Kwa ‘Scriptâ...

Post Image

May 4 2016 serikali kupitia wizara ya Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo waliufungia wimbo wa Chura pamoja na kumfungia msanii Snura kimuziki kisha May 5 msanii huyo akawa amekamilisha vitu vyote kisha akafunguliwa kimuziki,kazi ikawa kwenye kuuachia wimbo wa Chura ambao aliambiwa aurudie,kitu unachotakiwa kufahamu kwa sasa,ni kwamba Snura aliandika script ya video lakini pia ilikataliwa. ‘’Nilipeleka […]

Read More..

Nay wa Mitego Awashukia Wanaotaka Kujibisha...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego, amesema kwa levo aliyonayo kwenye gemu la muziki hawezi kushindana na msanii ambaye anatafuta kiki kupitia yeye na huku hafikii levo yake. Nay wa Mitego, aliyazungumza hayo Ijumaa kwenye kipindi cha Friday Night Live ya EATV na EA Radio baada ya kuulizwa kuhusiana na tetesi kwamba hapo awali […]

Read More..

Baada ya Tuzo za BET, Diamond Kuja Upya na ...

Post Image

Tuzo za BET zimefanyika mwishoni mwa wiki hii pande za Los Angeles, Marekani ambapo msanii Diamond Platnumz aliwakilisha Tanzania ambapo mshindi aliyekuwa akiwania tuzo moja na msanii Diamond na wengine kutoka barani Afrika alitoka nchini Afrika Kusini ambaye ni Black Coffee. Diamond amezungumza na Clouds Fm. ‘’Kila kitu kimekwenda fresh tuzo za Afrika zimetolewa ambapo […]

Read More..

Esha Atoa Sababu za Ubonge

Post Image

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Esha Buheti amedai kuwa ubonge alionao kwa sasa ni kwa sababu ya mapochopocho anayojipikia muda mwingi anapokuwa nyumbani na si kweli kwamba ni mjamzito kama watu wanavyomzushia. Akizungumza na mtandao huu, Esha alifunguka kuwa, kila mtu anamshangaa kunenepa kwake lakini yeye hajutii kwani ni matokeo ya vyakula vinono na kwa mwezi […]

Read More..

Mkubwa na Wanawe Watoa Msaada Hospitali ya ...

Post Image

KITUO cha kuvumbua na kuendeleza vipaji vya muziki cha Mkubwa na Wanawe, kimetoa msaada wa vifaa vya tiba na usafi, dawa za meno, sabuni, maji na juisi kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Said Fella, alisema wameamua kufanya hivyo kutokana na kuguswa na changamoto zinazoikabili hospitali hiyo. Alisema alishauriwa na vijana […]

Read More..

Waziri Nape Nnauye Afunguka Kuhusu Wasanii ...

Post Image

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye amefunguka sababu kubwa inayopelekea wasanii wengi kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya ni pamoja na wasanii hao kuwa na majina makubwa lakini mfukoni hawana kitu. Mhe. Nape Nnauye aliyasema haya kwenye kipindi cha Saturday Sports kinachorushwa na East Africa Radio kila siku za Jumamosi […]

Read More..