-->

Daily Archives: June 17, 2016

Shilole Alia Wasanii Wenzake Kumdhalilisha

Post Image

Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameonesha masikitiko yake kufuatia madai ya kudhalilishwa na baadhi ya wasanii wenzake kwa kuipa promo video ya wimbo mpya wa zilipendwa wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ wa Jike Shupa. Kwa mujibu wa Shilole, video ya wimbo huo inaonesha matukio ya kumdhalilisha ambayo inaonekana yeye alikuwa akimfanyia […]

Read More..

Video: Ray C Apewa Msaada na Polisi ya Baad...

Post Image

Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele barabarani akidai anataka kutekwa. Muimbaji huyo mahiri ambaye ameathirika na Matumizi ya madawa ya kulevya, alidaiwa kufika katika eneo hilo na kuomba msaada […]

Read More..

Shilole Kunogesha ‘Hainaga Ushemeji&#...

Post Image

Msanii wa nyimbo za singeli MANFONGO amefunguka ndani ya Enews kuhusiana na wimbo wake mpya wa HAINAGA USHEMEJI ambao video qeen ni mwanadada shilolee. Manfogo ameiambia E news kwamba hakumshirikisha shilole katika video yake ili kuuwa winbo wa chura kama watu wanavyoongea bali yeye alimpigia simu mwana dada shishi na kumuomba amtafutie video queen wa […]

Read More..

Picha: Riyama Afunga Ndoa na Leo Mysterio

Post Image

Msanii wa filamu Riyama Ally Alhamisi hii amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Leo Mysterio. Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa mume ambaye aliaacha naye, ameingia katika list ya wasanii wachache wa filamu waliofunga ndoa. Leo Mysterio ambaye ni msanii chipukizi wa muziki, aliwahi kusema kuwa mahusiano […]

Read More..

Bongo Movies Wafungua Tawi la Yanga

Post Image

MASTAA wa Bongo Movies wanaoshabikia Timu ya Yanga wamefungua tawi rasmi kwa ajili ya kuisapoti hiyo ya Jangwani. Yanga imekuwa na mashabiki wengi kila kona hapa nchini na Bongo Movies wameanzisha tawi hilo ili kuwa karibu zaidi na timu hiyo. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tawi hilo, Mike Sangu, baada ya kuona wanajitosheleza kufungua tawi […]

Read More..