-->

Daily Archives: June 2, 2016

Baada ya Chura Kufungiwa, Snura Anakuja na ...

Post Image

Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu wimbo wa Snura mrembo kutoka kiwanda cha burudani bongo kufungiwa ameamua kuja na wimbo mwingine unaitwa Mende. Snura amesema wimbo wa mende anafikilia kuutoa baada ya mwezi mtukufu wa ramadhani unaotarajia kuanzi mwanzoni mwa mwezi huu “Wimbo wangu wa chura umefungiwa sasa hivi nakuja na wimbo unaitwa mende nimepanga kuutoa […]

Read More..

Picha: Mpenzi Mpya wa Nuh Mziwanda Ajichora...

Post Image

Msichana anaedaiwa kuwa ni mpenzi mpya wa msanii Nuh Mziwanda  amejichora tatoo kwenye mkono wake yenye jina la Nuh Mziwanda. Picha za Msichana huyo akiwa na tatoo hiyo ya ‘NUH MZIWANDA.’ zimekuwa zikisambaa mtandaoni huku ikiadiwa kuwa  Bado Nuh ana tattoo ya ex wake Shishi. Jionee picha

Read More..

Rich Movoko Atua Rasmi WCB

Post Image

Msanii Diamond Platnumz, ameitambulisha rasmi label yake ya ‘WCB’ pamoja na kumsaini Rich Mavoko mbele ya waandishi wa habari. Aidha, Diamond alimtambulisha dada yake, Queen Darleen kuwa mmoja kati ya wasanii wapya wa label hiyo. Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa Taifa, Godfrey Mngereza ambaye alizungumza na kumpongeza Diamond huku akiwataka […]

Read More..

Sina Amani Imekuwa Kama Nimeua- Wema Sepetu

Post Image

Msanii wa filamu na mjasiriamali Wema Sepetu amefunguka ya moyoni kutokana na namna mashabiki wake wa Instgram wanavyomchukulia na kumpa maneno ambayo muda mwingine yanamuumiza na kumkosesha amani na kumfanya ajione ni kama mkosaji mkubwa. Wema Sepetu ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ha hayo yamekuja baada ya watu kuanza kusema maneno mbalimbali kwa […]

Read More..