-->

Daily Archives: June 29, 2016

King Majuto: Baada ya Ramadhani Anakuja Nah...

Post Image

MSANII mkali wa filamu, maigizo na vichekesho nchini, Amri Athuman maarufu King Majuto, anatarajia kutambulisha filamu yake mpya itakayojulikana kwa jina la ‘Uganga Basi’. Mkali huyo ambaye kwa sasa anatamba na filamu yake mpya inayoitwa ‘Kirungu’ aliyomshirikisha mchekeshaji mahiri na mkongwe katika vichekesho, Brother K, alisema filamu hiyo itatoka Julai mwaka huu. Majuto aliliambia MTANZANIA […]

Read More..

Nisha: Watoto Wamenitoa Machozi

Post Image

Msanii wa filamu Tanzania Nisha ametoa sadaka kwa kufuturisha watoto wasiojiweza katika viwanja vya shule ya sekondari Azania Upanga Jumapili hii, futari iliyohudhuriwa na wasanii wenzake pamoja na watu kutoka sehemu mbalimbali. Hata hivyo Nisha alipata wakati mgumu baada ya watoto hao kuanza kulia naye alishindwa kuvumilia huku akisema anawaonea huruma watoto hao na kuhisi […]

Read More..

Batuli:Wasanii Wengi Wanaishi Maisha ya Kui...

Post Image

MKALI wa filamu nchini, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’, amesema hataki watoto wake wawe waigizaji kwa kuwa kuna mambo mengi anayokutana nayo na hataki wakutane nayo. Akizungumza na MTANZANIA, Batuli alisema hataki watoto wake, Samir na Malima, wawe waigizaji kwa kuwa amekutana na mambo mengi mabaya yakiwemo kutukanwa mitandaoni, kupandishiwa bei za vitu kiasi kwamba vinasababisha wakati […]

Read More..

Hakeem 5 Atoboa siri ya Sharobaro Records

Post Image

Akiongea kwenye Planet Bongo ya east Africa Radio, Hakeem 5 amesema jina hilo walipewa na msanii Dully Sykes, kutokana na muonekano ambao alikuwa nao wa kupendeza. “Sharobaro ni mimi na Bob Junior, sisi ndio Sharobaro, kwa sababu sisi tulikuwa watu ambao tunajipenda sana, tunapendeza, sasa brother Dully akasema aah nyi masharobaro nyinyi, lilimtoka tu hilo […]

Read More..

Uwoya Azua Timbwili Ukumbini

Post Image

DAR ES SALAAM: Ni shida! Staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya hivi karibuni alizua timbwili zito ukumbini lililosababisha atolewe nje na kupelekwa nyumbani kuepusha kuzichapa, Risasi Mchanyiko lina habari kamili. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa Irene alizua timbwili hilo hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar ambako kulikuwa na sherehe ya […]

Read More..