-->

Daily Archives: June 30, 2016

Joh Makini: Sina Tatizo na Dully

Post Image

Baada ya tetesi na uvumi kuzagaa kuwa Dully Skys ana bonge la bifu na Joh Makini mpaka kupelekea kujitoa kwenye kolabo aliyoshirikiswa na TID kwenye wimbo wa Confidence, eNewz imekutana na Joh na kupiga naye stori. Kwanza aliulizwa anajisikiaje kufanya kazi na TID na suala la Dully kujitoa kwenye ngoma ya Confidence analichukuliaje hilo? Joj […]

Read More..

Shilole Kutafuta Mume Kijijini

Post Image

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume. Akistorisha na Showbiz Xtra, Shilole alisema kuwa, hataki tena kujichosha akili kwa wanaume wa mjini kwa vile ni wavivu bora aende Igunga kumpata mwanaume atakayeweza kufanya kazi kutokana […]

Read More..

Wema Afungukia Ugomvi Wake na Aunt

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefungukia ugomvi ambao hutokea mara kwa mara na shosti wake ambaye pia ni muigizaji, Aunt Ezekiel usiingiliwe na mtu kwani wanapogombana tofauti zao wanazimaliza wenyewe na si mtu mwingine yeyote. Akizungumza na Amani Wema alisema kuwa, yeye na Aunt ni watu waliopo karibu sana na wanaopendana hivyo inapotokea wanagombana […]

Read More..

Dawa za Kulevya Kwangu Itabaki Historia- Ch...

Post Image

Mkali katika muziki wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’, amesema matumizi ya dawa za kulevya yamempa mafunzo makubwa na itabaki kuwa historia kwake. Chid Benz aliliambia MTANZANIA kwamba dawa za kulevya zimeharibu maisha yake kwa kiasi kikubwa na yamemdhalilisha yeye na familia yake na watu wake wa karibu hivyo hatathubutu kurudia kama baadhi ya […]

Read More..

Alikiba Atambua Kiu ya Mashabiki Zake, Asem...

Post Image

Alikiba amesema anaamini mashabiki zake mpaka sasa watakuwa na kiu ya kusikiliza kazi mpya kutoka kwake hivyo hata waangusha kwani kwa sasa yeye atakuwa akitoka kazi juu ya kazi ili aende sawa na mashabiki zake. “Ukiwa kama shabiki yangu number moja click link kwenye Bio yangu kufikisha 2 Million Views. Kisha baada ya hapo wewe […]

Read More..