-->

Daily Archives: June 11, 2016

Rais Amefanya Mabadiliko Baraza la Mawazir...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri huku akimteua Mbunge wa Buchosha Dk. Charles Tizeba kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Nchemba anachukua […]

Read More..

Nisha na Wolper Wavutana, Kisa Hiki Hapa

Post Image

Mastaa wa bongo muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ na Jacqueline  Wolper wamejikuta wakivutana mtandaoni baada ya Nisha kuandijka kitu ambacho Wolper alijibu na kusababisha Nisha kuibuka tena na kutoa ufafanuzi. Nisha aliandika haya; kwenye hicha hii “Mmoja kati ya hawa amejaa kwenye galary ya simu yangu na moyoni mwangu,otea A B C AU D? enhe.  he???sa […]

Read More..

Cathy Awaka Kukimbiwa na Mume

Post Image

MWANAMAMA kutoka katika kiwanda cha filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amewatemea cheche wanaomsengenya kuwa amekimbiwa na mumewe hivyo kuwataka wamuache kwani hawezi kuachwa kamwe. Akizungumza na GPL, Cathy alisema tangu mumewe ahamie kikazi Zanzibar maneno yamekuwa mengi sana kutoka kwa watu wake wa karibu kwamba ameachwa kitu ambacho siyo kweli kwani wako vizuri na mambo […]

Read More..

Quick Racka Afunguka Haya Kuhusu Yeye na Ka...

Post Image

Mkali wa Bongo fleva Quick Racka amefunguka juu ya uhusiano wake na msanii wa Bongo muvi Kajala Masanja. Akizungumza na Enewz Quick Racka alisema kuwa yeye na bongo muvi star huyo ni washikaji wa karibu sana na urafiki wao una miaka miwili sasa, huku kila mtu akiwa na kazi zake. “Tunashauriana yaani kama washikaji na […]

Read More..

Dude Ajuta Kutofunga Ndoa

Post Image

MSANII wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa anajuta kutofunga ndoa na mkewe, Eva kwani anateseka sana kipindi hiki cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Akistorisha na gazeti hili, Dude alisema kutokana na sheria za dini ya Kiislamu kwamba hairuhusiwi mwanaume kupikiwa futari na mwanamke anayeishi naye tu bila kufunga ndoa, amekuwa akiteseka […]

Read More..

Yusuph Mlela Apata Dili Hili Kenya

Post Image

Msanii wa Bongo Movie,Yusuph Mlela amefunguka juu ya dili lake la nchini kenya. Akizungumza na Enewz Mlela amesema kuwa anashukuru Mungu kwakuwa hiyo ndiyo nafasi kwake katika kuiwakilisha nchi yetu. “Project yangu ya Kenya imenipa Exposure kubwa sana kiasi kwamba imenitanua katika kila kitu na watu wategemee kitu kikubwa zaidi”, amesema Mlela huku akiongezea kuwa […]

Read More..