-->

Daily Archives: June 6, 2016

Ukimya wa Odama Wawapa Jibu Mastaa!

Post Image

Staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa ukimya wake wa muda mrefu umewapa jibu mastaa wenzake kwani kuibuka kwake na sinema mpya kumezua gumzo na kumpa heshima ya kuendelea kusimama kama msanii. Odama ameliambia Wikienda, kuwa alipoamua kukaa kimya alikuwa na sababu kwani alikuwa ametuliza kichwa kuhakikisha anaibuka na sinema itakayozidi kumjengea […]

Read More..

Picha: Meninah Afunga Ndoa Tena

Post Image

Staa wa bongo Fleva alieibukia kwenye BSS, Meninah  La Diva, amefunga ndoa tena na mwanaume mwingine. Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo iliyofungwa mwaka jana imevunjika. Haijulikani sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo. Peter alibadilisha dini na kuwa muislamu ili kumuoa Meninah na kuanza […]

Read More..

Mama Harmonize Amtilia Shaka Wolper

Post Image

Siku chache baada ya staa wa Wimbo wa Bado, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ kumtambulisha mchumba’ke, Jacqueline Wolper Massawe nyumbani kwao katika Kijiji cha Mahuta mkoani Mtwara, siri imevuja kuwa wakati wa zoezi hilo, mama mzazi wa jamaa huyo, anadaiwa kumtilia shaka mrembo huyo juu ya mwanaye na kumpa wosia mzito. Tukio la utambulisho huo lilifanyika nyumbani […]

Read More..

Picha: Mwana FA Afunga Ndoa

Post Image

Ndoa huyo imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, GK, Alberto Msando na wengine. Hongera sana Mwana FA.

Read More..

Nunua Filamu Hapa: Filamu Mpya Zilizotoka, ...

Post Image

NUNUA FILAMU HAPA: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO: Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE: Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. Filamu hizi zinapatikana sasa

Read More..

Diamond Platnumz Atoa Msada wa Madawati 600

Post Image

Msanii Diamond Platnumz akiwa na uongozi na wasanii wote wa WCB, leo wamemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda madawati 600 ya wanafunzi ambayo yatasaidia takribani ya wanafunzi 1800 katika jiji la Dar es Salaam ambao walikuwa wanakaa chini. “Mapema leo na familia nzima ya WCB wasafi katika ofisi ya Mkuu wa […]

Read More..