-->

Daily Archives: June 15, 2016

Harmonize: ‘Bado’ ni Hisia za K...

Post Image

Msanii Harmonize ameelezea jinsi ilivyokuwa kabla hajarekodi wimbo wa bado, na kusema kuwa hakuwahi kuwaza kichwani mwake kuwa wimbo huo ataimba na Diamond. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Harmonize amesema ingawa alijua kuwa kuna kazi watafanya wote lakini hakujua kuwa itakuwa ni lini na ni wimbo upi. “Before wakati naandika nilikuwa siwazi […]

Read More..

Fella, Tale Kumrudisha Upya Chid Benz

Post Image

MKURUGENZI wa kundi la Wanaume Family na Yamoto bendi, Saidi Fella maarufu Mkubwa Fella, amesema yeye na meneja wa msanii, Diamond Platnumz, Babu Tale, wameamua kumsaidia mkali wa rapu, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, arudi katika sanaa yake na si kujiunga na kundi lolote. Fella alisema msanii huyo kwa sasa wamemwanzishia mazoezi maalumu ya kumwezesha kurudisha […]

Read More..

Shilole Acha Figisu – Nuh Mziwanda

Post Image

Baada ya video mpya ya Nuh Mziwanda ‘Jike Shupa’ kuachiwa na kuzua gumzo mitandaoni kutokana na namna msanii huyo alivyoweza kuelezea kisa na matukio yaliyokuwa yakimkuta alipokuwa akitoka kimapenzi na Shilole. Nuh Mziwanda amedai toka kutoka kwa video hiyo mpenzi wake huyo wa zamani amekuwa akimpiga vita na kuwakataza baadhi ya wasanii wasimpe support msanii […]

Read More..

Swala la Mimba Lamuweka Kitimoto Wastara

Post Image

Mashabiki katika mitandao ya kijamii wanamshinikiza staa wa filamu, Wastara Juma kuwapa ukweli kama ana mimba ya Mbunge wa Jimbo la Donge Zanzibar, Sadifa Khamis ambaye ameachana naye miezi kadhaa iliyopita. Muigizaji huyo ambaye ni mama wa watoto watutu, ameona asikae kimya kushuhu swala hilo na kuamua kuwajibu mashabiki hao akiwataka kutulia kama ana mimba […]

Read More..

Wolper Anusurika Kupigwa Risasi Kituo cha M...

Post Image

Chupuchupu! Mwanadada anayeng’ara kunako tasnia ya filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, juzikati almanusra apigwe risasi kwenye kituo kimoja cha mafuta kilichopo Tegeta (jina linahifadhiwa) jijini Dar es Salaam, baada ya kuibuka kwa timbwili zito eneo hilo, Risasi Mchanganyiko linakupa mkasa mzima. Tukio hilo la aina yake, lilijiri mishale ya saa tano usiku wa Juni 12, […]

Read More..