-->

Daily Archives: June 1, 2016

Nuh Mziwanda atoboa Siri ya ‘Jike Shupa’

Post Image

Nuh Mziwanda amefunguka kile kilichojificha kwenye wimbo wake wa ‘Jike shupa’ ambao kwa sasa unafanya poa, aliomshirikisha Alikiba, na jinsi alivyoupokea kwa mara ya kwanza. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Nuh Mziwanda amesema Alikiba alimtaka Nuhu autoe wimbo huo bila yeye kutia sauti yake, kwani aliuona umekamilika na mzuri pia. […]

Read More..

Snura Amkabidhi Jipu Mama Samia

Post Image

STAA wa muziki Bongo, Snura Mushi ameibuka na kumkabidhi Makamu wa Rais, Samia Suluhu jipu la wanaume wanaowakataa watoto wao na kuwaachia wanawake mzigo wa kulea peke yao. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Snura alisema siku hizi wimbi la wanaume kuwakataa watoto wao ni kubwa sana hivyo tatizo hilo ni sawa na majipu mengine, anamuomba mama […]

Read More..

Hizi Ndizo Movie Mpya Zilizotoka Hivi Sasa

Post Image

  MOVIE MLANGONI: Sasa mashabiki wa bongo movies unaweza kujipatia nakala yako ya Movie zote kutoka Steps Entertainment popote pale ulipo. Kwa Bei rahisi kabisa; Kwa shilingi 5000/= -DVD na  3000/= -VCD Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489 Kuletewa filamu hizi. Pia kama unataka kuwa wakala wa kuuza filamu zetu wasiliana […]

Read More..

Mzee Majuto Akanusha Kustaafu Kuigiza

Post Image

Msanii wa filamu za kuchekesha, King Majuto amekanusha taarifa ambazo zilizagaa katika mitandao ya kijamii kwamba amestaafu kuigiza. Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatano hii, Mzee Majuto amedai sio kweli kwamba amestaafu kuigiza ila kuna baadhi ya filamu ambazo hatafanya tena. “Watu wameniwekea maneno mdomoni, sijasema nimeacha kuigiza,” alisema Majuto.“Wakati nipo […]

Read More..

Hatimaye Siwema wa Nay Atoka Gerezani!

Post Image

HABARI njema! Mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson aliyehukumiwa miaka miwili jela kwa kosa la kutishia kwa njia ya mtandao, hatimaye ametoka jela. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, Nay wa Mitego alisema katika harakati za kushughulikia ili mzazi mwenzake huyo atoke alifanikiwa kupata mawakili wawili ambao mpaka […]

Read More..

Babu Tale na Kalapina watajwa kama Chid Ben...

Post Image

Akizungumza na eNewz mmoja wa wahusika wa Sober House ambae hakutaka kutajwa jina lake amesema, ikitokea Chidy atarudia kutumia dawa za kulevya tena basi wasimamizi wake ambao walimpeleka pale kwa mara ya kwanza watakuwa wamehusika kutokana na wao kushindwa kumtimizia ahadi walizokuwa wamempatia. Aidha, ameongezea kuwa mteja ni kama mtoto mdogo ukimuahidi kitu basi lazima […]

Read More..

Duma, Mboto , Dude na Riyama Kuja na ‘Mch...

Post Image

Baada ya kufanya vizuri katika filamu ya mfadhili wangu sasa anakuja kivingine hapa namzungumzia Daudi Michael (Duma) anakuja na filamu yake mpya ambayo imeshutiwa mikoa miwili dar na morogoro, Inaitwa (Mchongo Sio ) ambayo ameshirikiana na mastaa wenzake kibao kama Haji salum (Mboto) Kulwa Kikumba (Dude) Riyama Ally Mzee Kolongo Lukey Lukam…Rucky Baby Mwahija Mvungi […]

Read More..

Hakuna Shida mtu Kuvaa Kimini Kama Mtu Ana ...

Post Image

Staa wa Filamu Bongo Rose Ndauka  amefukunga kuwa haoni kama kuta tatitzo kwa wadada wa bomgo movies kuvaa vimini kwenye filamu wanaozocheza kama wana miguu mizuri ya kuvalia. Akizungumza na eNewz Rose aliweza kutoa maoni yake kuhusiana na kauli iliyokuwa imetolewa na nguli wa filamu nchini Bibi Hindu dhidi ya wasanii wa kike wa Bongo […]

Read More..