-->

Daily Archives: June 24, 2016

Kala Jeremiah: Baba Alifariki Siku ya Kukut...

Post Image

MSANII wa miondoko ya hip hop, Kala Jeremiah, amesema hatasahau siku alipopanga kukutana na baba yake mzazi kwa mara ya kwanza kwani ndiyo siku aliyofariki dunia. Kala alisema alitoka Mwanza hadi Dar es Salaam kumtafuta baba yake lakini kabla hajakutana naye alipokea taarifa mbaya kuhusiana na baba yake huyo jambo ambalo anadai halitatoka katika kumbukumbu […]

Read More..

TID Ampa Makavu Dully Sykes

Post Image

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East AFrica Radio, TID amesema Dully Sykes hakupenda kitendo cha Joh Makini kuwepo kwenye collabo yao ya wimbo wa confidence. “Kwanza ile ngoma mwenyewe ndio alitaka kuwepo baada ya kuisikia, akasema mnyama hii ngoma kali naomba niweke sauti na mimi, nikamkubalia tukarekodi, lakini alivyokuja kusikia Joh Makini yupo akanipigia simu […]

Read More..

Ray Kumfuata Chuchu kwa Dini Yake!

Post Image

BAADA kuwa katika mahusiano kwa muda mrefu nyota wawili katika tasnia ya filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hansy , Chuchu anafunguka kwa kusema kuwa mpenzi wake huyo yupo mbioni kubadili dini na kumfuata yeye kwani tayari anafunga naye mwezi huu mtukufu. “Ray ananisupport kufunga mwezi huu yupo sambamba nami kufuata taratibu za kidini […]

Read More..

Aunt Ang’aka Kisa Ubonge

Post Image

TAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ameng’aka baada ya baadhi ya mashabiki kumnanga kuwa anaelekea kuzeeka kutokana na kuharibu umbo lake ambapo anaonekana kunenepa kupita kiasi na kuwaambia kuwa mchumba wake, Mose Iyobo ndiye anapaswa kumsema. Akizungumza na Amani Aunt alisema kuwa, anawashangaa watu wanaombwatukia kuwa amenenepa kupita kiasi wakati Mose anayeishi naye anaonekana kuvutiwa […]

Read More..

Chidi Benz Atoboa Chanzo cha Wasanii Kutumi...

Post Image

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Chidi Benz amefunguka na kueleza jinsi wadau wa muziki nchini wanavyosababisha wasanii wa muziki kuingia kwenye matumizi ya Madawa ya kulevya. Rapper huyo ambaye ameachana na matumizi ya Madawa ya kulevya hivi karibuni, ameiambia BBC kuwa wasanii wengi wanaingia kwenye Madawa ya kulevya baada ya kupata stress za kubaniwa […]

Read More..

Uwoya Aitwa Ikulu ya Kenya

Post Image

Zali! Kuna madai kwamba, Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta amempa mwaliko maalum staa mwenye mvuto katika sinema za Bongo, Irene Pancras Uwoya kuitembelea ikulu ya nchini hiyo, ikiwa ni msanii wa kwanza Bongo kupata fursa hiyo, Amani limedokezwa. Kwa mujibu wa chanzo, awali rais huyo aliwahi kutolewa na jarida moja la nchini humo kwamba […]

Read More..

Young Dee: Nimekoma ngada

Post Image

Baada ya mengi kutokea na kuvuma juu ya tetesi za utumizi wa madawa ya kulevya kwa msanii wa bongo fleva Young D hatimaye amerudi tena kwa kiongozi wake wa zamani Max na kutangaza kuacha ngada mbele ya waandishi wa habari. Enewz imezungumza na MAX na tukamuuliza tulitegemea kusikia wimbo mpya wa Young D leo hii […]

Read More..