-->

Daily Archives: July 4, 2016

Mapya Kutoka kwa Lady Jaydee

Post Image

Mwanamuziki mkongwe katika tasnia ya bongo fleva Lady Jaydee amefunguka na kusema kuwa mpaka sasa tayari ana album nzima iko ndani na anachofanya ni kutoa kazi moja moja kila baada ya miezi mitatu. Leo kupitia kipindi cha East Africa Breakfast kinachorushwa na East Africa Radio. Lady Jaydee amesema album yake imekamilika na inaitwa ‘Woman’ hivyo […]

Read More..

Gabo Zigamba: Atoboa Sababu za Filamu za Ta...

Post Image

Msanii wa filamu, Gabo Zigamba ametoa ya moyoni kuhusu mapungufu ambayo yanafanya filamu za Tanzania kutofanya vizuri katika nchi kubwa hasa zile za kimaitafa. Akizungumza na Ayo TV alisema….‘Pungufu la mwanzo kabisa linatokana na bajeti kuwa ndogo kwahiyo tukianza na bajeti ikiwa ndogo lazima kuna vitu vitatu au vinne vikafanywa na mmoja kwahiyo tayari itakuwa […]

Read More..

Wasanii Hawa Kunogesha ZIFF Mwaka Huu

Post Image

WASANII wa hip hop, Farid Kubanda ‘Fid Q’, Juma Kassim ‘Juma Nature’, Stamina na Young Killer ni miongoni mwa wasanii watakaonogesha Tamasha la 19 la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi maarufu ZIFF, linalotarajiwa kuanza maonyesho yake Julai 9 hadi 17 visiwani Zanzibar. Tamasha hilo limezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki […]

Read More..

Filamu Zinavyowatesa Wasanii Uraiani

Post Image

KATIKA tasnia ya uigizaji kuna mambo mbalimbali unaweza kukutana nayo kwenye jamii, iwe kwa uzuri au kwa ubaya. Japokuwa vinaweza kumpatia mtu umaarufu ingawa mara nyingi hutegemea na jinsi msanii anavyojiweka ama anavyojihusisha na sanaa yake. Kwa upande wa fani ya filamu mara nyingi hilo linatokana na kuuvaa vyema uhusika wa nafasi anayoigiza katika kazi […]

Read More..

Pichaz: Ommy Dimpoz na Wayne Rooney Wakutan...

Post Image

Akiwa nchini Hispania, mkali wa bongo fleva, Ommy Dimpoz amekutana na mchezaji nyota wa nyota wa Manchester United na timu ya uingereza, Wayne Rooney na familia yake kwenye kisiwa cha Ibiza nchini humo. Ommy dimpozi ameweka picha hizi na video mtandaoni.  

Read More..

Wastara Atumia Mil 180 Kununua Mjengo

Post Image

Huku kukiwa na madai mazito ya kumchuna aliyekuwa mumewe ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Khamis Juma, staa wa sinema za Kibongo, Wastara sasa anaripotiwa kununua mjengo wenye gharama ya Sh. milioni 180 za Kitanzania, Wikienda limechimba. Pamoja na misukosuko […]

Read More..

Mabasi ya Haraka Kuanza Kutumia Gesi

Post Image

Gazeti la Habari Leo limeripoti kuwa` msimamizi wa usambazaji gesi katika shirika la maendeleo ya petrol  Tanzania (TPDC), Ismail Naleja, amesema awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam yatatumia nishati ya gesi asilia badala ya mafuta jambo litakalosaidia kupunguza gharama. Kupitia gazeti hilo Naleja amesema matumizi ya nishati hiyo yataanza katika […]

Read More..