-->

Daily Archives: July 9, 2016

Kiki za Mastaa Zilizotingisha, Shilole, Van...

Post Image

KIKI siyo kitu kigeni kabisa kwa wasanii ulimwenguni. Kutafuta jambo la kushtua na kuwafanya mashabiki wamzungumzie msanii husika kwa muda mrefu zaidi akiwa na lengo la kuachia kazi yake. Lakini kwa baadhi ya wasanii wetu hapa Bongo hujiingiza kwenye skendo wakidhani ni kiki. Kwa kawaida kiki ni nzuri ili kumsaidia msanii kujipaisha na kuchomoa kazi […]

Read More..

Maneno ya Jay Moe Kwa Wasanii Wakongwe

Post Image

Jay Mo amesema baada ya kutoa ngoma yake ya ‘Pesa Madafu’ amengundua mengi yakiwemo mabadiliko ya music wa kisasa huku akisema kipindi chao ilikuwa lazima utoe albamu ndo uuze lakini kwa sasa mtu anasingle mbili anasifa. Mkongwe wa muziki wa rap ambaye alikaa kimya kwa miaka 11 kwenye gemu na kuibuka na ngoma kali inayosumba […]

Read More..

Mtitu Afunguka Maprodyuza Kuwamaliza Waremb...

Post Image

PRODYUZA na muigizaji wa sinema Bongo, William Mtitu amefunguka kuwa maprodyuza wengi wamekuwa wakipewa lawama za kutembea na waigizaji wa kike kutokana na wao wenyewe kujirahisisha. Akizungumza na mwanahabari wetu ofisini kwake Magomeni jijini Dar, Mtitu alisema endapo warembo wenyewe wakijitambua, hakutakuwa na malalamiko hayo kila kukicha. “Wanajirahisisha wenyewe halafu baadaye wanalalamika katika vyombo vya […]

Read More..

Nitakuwa Sauti ya Wengine- Wankota

Post Image

KILA mwandishi wa Script anajua ugumu wake na kufanya waandishi wake wawe wachache zaidi katika tasnia ya filamu Swahilihood, mwanadada mwenye kipaji cha ajabu Wankota Kapunda kwa kupitia kipaji chake anasema kuwa atakuwa sauti ya wale wote waliopatwa na tatizo kama lake. Wankota anawaambia FC kuwa kupitia kipaji chake anatakuwa kuwa daraja la wale wote […]

Read More..

Harmonize: Video ya ‘Matatizo’ ...

Post Image

Msanii Harmonize kutoka katika label ya WCB Wasafi amefunguka na kusema video ya wimbo wake mpya ‘Matatizo’ inazungumzia maisha yake wakati anaitwa Rajabu kabla ya kutambulika kama Harmonize. Harmonize alisema hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV na kudai kuna baadhi ya watu wanashangaa kuona alikuwa anaishi maisha hayo na kusema kuwa […]

Read More..

Mike: Naitamani Sana Salamu ya Thea

Post Image

MSANII wa muda mrefu kwenye tasnia ya filamu Bongo, Mike Sangu amefunguka kuwa anatamani sana hata kusalimiana na mtalaka wake Salome Urassa ‘Thea’ kwani ameshakubaliana na matokeo hivyo kiu yake ipo kwenye salamu tu. Akizungumza na gazeti hili, Mike alisema tangu watengane na mkewe huyo, takriban miaka mitatu iliyopitana hawajawahi kusalimiana kitu ambacho anaona si […]

Read More..