Huu Ndiyo Ujio Mpya wa Wastara, Hapendeki
The return of bongo movie queen Wastara Juma kwenye filamu ya Hapendeki inayotoka 13.02.2017 sio ya kukosa hii unaambiwa moto ukishazimika jivu halina thamani tena…….
Read More..The return of bongo movie queen Wastara Juma kwenye filamu ya Hapendeki inayotoka 13.02.2017 sio ya kukosa hii unaambiwa moto ukishazimika jivu halina thamani tena…….
Read More..‘WANAKUJAAA hao!’ Msemo huu si mgeni masikioni mwa wafuatiliaji wa tamthilia za kikorea, kifilipino, kizungu, kichina na filamu mbalimbali ambazo zimewekwa vionjo vya lugha ya kiswahili. Maneno hayo hutumiwa zaidi na Ahmada Abdulrahman maarufu Dj Mark, G Mashine, Jogoo kutoka lebo ya Acheche Production. Licha ya biashara hiyo kupingwa na Serikali kwa kukiuka sheria za […]
Read More..KUTOKANA na hivi karibuni mama wa aliyekuwa staa mkubwa wa filamu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa kumwanika kijana ambaye ni mwigizaji wa tamthilia, Fredy Swai kuwa ndiye mrithi wa mwanaye, kijana huyo alibadilika muonekano usoni baada ya Global TV Online kumhoji kuhusu ukaribu wake na Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa mpenzi wa Kanumba. Fredy aliulizwa kama ana […]
Read More..Katibu wa Bodi ya filamu Bi. Joyce Fissoo amezidi kuonyesha dhamira kuu kwa wadau wa filamu baada ya kupigania uharakishaji wa uandaaji wa Sera ya Filamu ili kuwajengea wadau hao thamani ya kazi yao huku ikiwapa kipaumbele kikubwa katika kuwashirikisha wawakilishi wa wadau wa Filamu na kutoa maoni yao kupelekea kujenga tasnia yenye nguvu. Kwa […]
Read More..Mwanamuziki mkongwe wa kike nchini Stara Thomas amefunguka na kusema kuwa kuna sababu nyingi sana kwa wasanii wa kike hata wakiume kushuka kimuziki na moja ya sababu kubwa ni kuendekeza sana mapenzi. Stara Thomas alisema haya kupitia kipindi cha Planet Bongo na kudai wasanii wengi wanashindwa kurudi kwenye biashara ya muziki kutokana na kukata kwa […]
Read More..