-->

Daily Archives: January 25, 2017

Muigizaji Mtanzania Ateuliwa Kuwa Rais wa K...

Post Image

Muigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania, anayefahamika zaidi kupitia filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon (pichani hapo chini), ameteuliwa kusimamia kampuni ya Kimataifa ya utengenezaji na usambazaji filamu, D Street Media Group, kama Rais. Kampuni hiyo yenye Makao Makuu yake katika nchi anayoiongoza Rais Donald Trump, Marekani kwenye jiji la New York na […]

Read More..

AY Afunguka ya Moyoni Kuhusu Joh Makini

Post Image

Msanii mkongwe katika ‘game’ la mziki wa kizaji kipya , Amwene Yesaya ‘AY’ amefunguka na kusema kuwa toka mwaka 2006 mpaka sasa hakuna rapa ambaye ameibuka na kuwa mkubwa zaidi ya Joh Makini. AY amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kudai kuanzia mwaka 2006 baada ya Joh Makini kuingia […]

Read More..

Video Mpya ya Joh Makini – WAYA

Post Image

Mwanamuziki Joh Makini kutoka River Camp Soldiers na Weusi Kampuni ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Waya. Burudika.  

Read More..

Mrithi wa Kanumba Afunguka Haya Juu ya Kanu...

Post Image

Kupitia Ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, muigizaji  Fredy Swai aliyetajwa na mama mzazi wa marehemu Kanumba kuwa ndiye mrithi atakae vaa viatu vya mtoto wake , Kanumba katika tasnia ya uigizaji , amefunga haya mara baada ya kuweka picha ya Kanumba;   Haimaanishi kwamba uliimaliza sanaa yote iliyoandikwa kwenye vitabu.. Ila kwa hapa Tanzania […]

Read More..

Dino Arudi Kuikoa ‘Bongo Movie’

Post Image

Msanii wa Bongo Movie Dino amesema kwa sasa yupo tayari kurudi kwenye tasnia hiyo baada ya kukaa miaka minne bila kucheza movie yeyote hali iliyofanya ajifunze mengi nje ya movie. Akipiga story kupitia eNewz, Dino amesema hawezi kupotea kwenye movie kwa kuwa alikuwa anafanya vizuri na ana kipaji ambacho yeye mwenyewe anakitambua hali inayopelekea mashabiki zake kuendelea […]

Read More..