-->

Daily Archives: February 18, 2017

MOVIE CLIP: Gate Keeper- Kutoka kwa Ray, Ri...

Post Image

Filamu ya GATE KEEPER inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 6 mwezi wa tatu mwaka huu. GATE KEEPER imechezwa na mastaa kibao katika tasnia ya bongo movie , kutana na Vincent Kigosi (Ray) Single Mtambalike (Richie), Kajala Masanja, Nicole Franklyin. Tazama Trailer ya Filamu hii hapa chini Official Trailer

Read More..

VIDEO: Fid Q Afungukia Ishu ya Irene Uwoya ...

Post Image

Baada ya malkia wa filamu nchini Irene Uwoya kutoa kauli yake ya kuwa anapenda wanaume wagumu na kumtolea mfano Fid Q, rapper huyo amefunguka na kuzungumzia kauli ya muigizaji huyo. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Fid Q amedai yeye siyo mwanaume mzuri lakini ana good look. “Mimi wakiitwa wanaume wabaya siwezi kwenda lakini pia wakiitwa […]

Read More..

Kilichomfanya Nahreel Apagawe kwa Aika, Hik...

Post Image

Msanii na producer Nahreel amefunguka sababu kubwa iliyomfanya kumpenda mpenzi wake Aika, ambaye wanaunda naye kundi la Navy Kenzo kuwa ni kutokana na uzuri wa mashavu yake na siyo hips wala kifua kizuri. Nahreel aliyasema hayo alipokuwa akiongea na EATV na kusema watu wengi wanadhani huenda alimpenda Aika kutokana na uzuri wake wa sura, uzuri wa […]

Read More..

Polisi ‘Wammulika’ Mbowe

Post Image

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa endapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hataripoti polisi kesho, atatafutwa kwa namna ambayo jeshi hilo litaona inafaa.   Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jana kuwa Mbowe kupitia kwa baadhi ya viongozi aliwajulisha angeripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, Jumatano Februari 15, […]

Read More..

Sakata la Q-Chief, Qs Mhonda Nyuma Yake Kun...

Post Image

HAINA tofauti sana na zile tetesi za usajili tunazo zisikia kwenye ulimwengu wa soka, ila safari hii tunazisikia kwenye tasnia ya muziki kufuatia mkongwe wa Bongo Fleva, Abubakary Katwila ‘Q Chief’ kuhusishwa kutua pale Wasafi Classic Baby (WCB). Uvumi huo umepata nguvu siku chache baada ya Q Chief kutangaza kuvunja mkataba na uongozi wake chini […]

Read More..

VIDEO:Mwakyembe Alivyozidiwa Ujanja na Agne...

Post Image

Waziri wa Sheria na Katiba Dkt. Harrison Mwakyembe ameendelea kufunguka jinsi alivyokwama kudhibiti upitishwaji wa dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam wakati alipokuwa Waziri wa Uchukuzi hadi kuzidiwa kete na Agnes Masogange. Waziri Mwakyembe akiwa kwenye kipindi cha East Africa Breakfast amesimulia kilichotokea wakati alipotaka kumdhibiti binti mmoja aliyedaiwa kupitisha […]

Read More..

Martin Kadinda adai RC Makonda Hakukosea Ku...

Post Image

Meneja wa zamani wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amedai Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda hakukosea kumtaja Wema Sepetu kwenye list yake ya watuhumiwa wa biashara haramu ya madawa ya kulevya kutokana na aina ya marafiki ambao amekuwa nao. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Martin amedai yeye alitumia nguvu nyingi kumshauri muigizaji […]

Read More..

Waziri Nape Afanya Ziara ya Kushitukiza Kar...

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye aongoza timu yake katika operesheni maalumu ya kufanya msako mkali wa wauzaji wa kazi za wasanii bila vibali vya Bodi ya filamu ya Tanzania. Waziri huyo amevamia maduka yanayouza CD FEKI pamoja na ofisi ambayo inajihusisha na kurudufu kazi za wasanii kutoka ndani na nje […]

Read More..

Baada ya Kumuita Nyani, Iyobo Amvaa Tena Ha...

Post Image

KIONGOZI wa madansa ambaye ni dansa tegemezi wa Wasafi Classic Baby (WCB) Mose Iyobo amefunguka kuwa yeye hana imani na Harmorapa na anashangaa anavyotajwa kila mahali kwani yeye hajawahi kusikia kazi yake yoyote hivyo hajui uwezo wake kimuziki. Iyobo aliendelea kwa kutoa povu kuwa yeye anamchukulia Harmorapa kama mtu aliyekurupuka kwenye muziki na hajui ni […]

Read More..

Ray C: Namtamani Ray Vanny

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Ray C amefunguka na kusema anamtamani sana msanii kutoka katika label ya WCB Wasafi Ray Vanny na amekuwa akipenda sana kazi zake na kuzisikiliza, hivyo anatamani kufanya naye kazi hata moja tu. Ray C alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema anasikia Ray […]

Read More..

Alikiba Ampagawisha Waziri Nape Nnauye

Post Image

Msanii Alikiba ambaye leo ameachia remix ya wimbo wake wa ‘Aje’ ameonesha kumkosha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kiasi cha Waziri huyo kusema kuwa Alikiba ni kati ya wasanii wanaofanya ajisikie fahari kuwa Waziri Mhe. Nape Nnauye amesema hayo leo baada ya msanii huyo kukabidhiwa tuzo yake katika kituo kimoja […]

Read More..