Harmorapa, Bahati Haiji Mara Mbili!
ATHUMANI Omary ambaye Sasa ni gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii na magazeti kama Harmorapa, ni msanii ambaye amekuja na bahati ambayo wengi wameshindwa kuipata, hata baada ya miaka kadhaa ya kuhangaikia jina kwenye Muziki wa Kizazi Kipya. Wapo wanaoamini katika bahati na wengine wanajaribu kumhusisha meneja wake, Irene kuwa ndiye aliye nyuma ya matukio […]
Read More..





