-->

Daily Archives: January 19, 2018

Kesi ya Masogange Yakwama

Post Image

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili, Agness Gerald ‘Masogange’, umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuuonya upande wa utetezi kwa kushindwa kutoa ushahidi wao kwa mara ya tatu mfululizo. Upande wa mashtaka umefikia hatua hiyo baada ya Wakili wa Utetezi, Nehemia Nkoko, kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Ishu Yake na Nini

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema jambo lolote linaweza kutokea kati yake na msanii Nini, ingawa kwa sasa hawana mahusiano.   Akizungumza na EATV Nay amesema kitu kilichopo kati yake na Nini kwa sasa ni kazi tu, lakini haitakuwa kitu cha ajabu iwao lolote likitokea baina yao. “Mimi […]

Read More..

TBT Video: Shabiki alivyopigana na mabaunsa...

Post Image

Alhamis ya  January 18,2018  wengi huiita siku hii Throw Back Thursday yani TBT ambapo hujikumbusha vitu vilivyopita, nimekutana na video clip ya miaka iliyopita ikimuonyesha staa wa  Bongofleva Diamond Platnumz  akiwa katika show ya utafutaji ili muziki wa Bongo Fleva uweze kufika mbali kimataifa na moja kati ya mashabiki akipigana na mabaunsa ili amshike tu Diamond Platnumz. […]

Read More..

Iren Uwoya, Dogo Janja Wamfariji Johari Kwe...

Post Image

SO SAD! Kufuatia kifo cha mama mzazi wa Staa wa Bongo Movies, Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’, Bi. Asha Chagula, maeneo ya Mburahati, jijini Dar wasanii wenzake Dogo Janja na mkewe Irene Uwoya jana walipata fursa ya kumtia moyo na kumpa nguvu ambapo walimtaka asikate tamaa na achukulie ni hali ya kawaida inayoweza kumtokea binadamu […]

Read More..

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Kufunga Ndoa

Post Image

BAADA ya staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kufunga ndoa na Uchebe, msanii anayekimbiza na Ngoma ya Give It To Me, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefungukia upande wa maisha yake kwamba acha waoane wao lakini kwake noo! Akizungumza na Showbiz, Lulu aliyewahi kuwa muuza nyago kwenye video za Kibongo alisema kuwa, hafikirii […]

Read More..

Alikiba Ashambuliwa na Mashabiki Kisa Lulu

Post Image

KATIKA kile kilichoonekana kwamba amemkumbuka aliyewahi kuwa mpenzi wake zamani ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, Elizabeth Michael ‘Lulu’, staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba hivi karibuni alishindwakuficha hisia zake na kuweka picha ya mrembo huyo ambapo baadhi ya mashabiki walimshambulia huku wengine wakimpongeza. Kiba aliweka picha hiyo ya Lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram […]

Read More..

Idriss Mapenzi Yamtesa Sasa Amkumbuka X- Wa...

Post Image

Mshindi wa Big Brother Afrika 2014 Idris Sultan ameonyesha kumkumbuka mpenzi wake wa zamani aliyempata wakati wakishiriki shindano la Big Brother 2014 ambaye ni Samantha Jannsen ambaye anatokea nchini Afrika Kusini. Idris amepost video clip kwenye Instagram page yake akiwa na Samantha licha ya kwamba Idriss na Samantha wameachana miaka kadhaa iliyopita na kuandika hivi […]

Read More..