-->

Daily Archives: January 29, 2017

Video: Baada ya Kuitwa Nyani, Hamorapa Atoa...

Post Image

DANSA mashuhuri kutoka lebo kubwa Bongo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ambaye pia ni mzazi mwenza wa Anti Ezekiel, Mose Iyobo, amefunguka kupitia mtandao wa ‘Tweeter’ wa  Hamis Mandi Mtangazaji wa XXL ya Clouds FM baada ya Bdozen ‘Hamis’ kuweka picha akiwa na mtafiti wa wa Nyani (Sokwe) duniani, Jane Goodall, ambapo (Iyobo) alimtaka mtafiti […]

Read More..

Pichaz: Jinsi Wachimbaji 15 Walivyookolewa ...

Post Image

Wakiwa wameloa mwili mzima na tope la udongo mwekundu wa mgodini uliokuwa umezifunika nguo zao, wachimbaji hawa 15, hawakuamini macho yao baada ya kuliona tena jua kwa mara ya kwanza, kufuatia kuwa chini ya ardhi, kwa siku nne mfululizo. Miili yao haikuwa na nguvu, tumboni hakukuwa na kitu na njaa ya siku nne ilikuwa imewatafuna […]

Read More..

Mambo Matano (5) Ambayo Wastara Hatayasahau...

Post Image

Staa wa bongo movie ambaye maisha yake halisi yamekuwa yaki ‘make headlines’ kwa kiasi kikubwa, Wastara, ametaja mambo matano ambayo yamemuumiza zaidi maishani, na hatayasahau katika kipindi chote cha maisha yake Wastara akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, amesema jambo la kwanza kubwa ambalo hataweza kulisahau ni kuondokewa na wazazi wake wote […]

Read More..

Ushindani Wanaoukataa ‘Bongo Movie’ Ume...

Post Image

KADRI siku zinavyokwenda ndivyo tasnia ya filamu inaonekana kudumaa huku muziki wa Bongo Fleva ukionekana kuzidi kukata anga. Achana na Diamond, Ali kiba na Vanessa Mdee, Bongo Fleva ina vichwa vingi vinavyoweza kuwa kielelezo cha ubora wa muziki wao. Ndani ya Bongo Fleva kuna Jux, Mr Blue, Barakah Da Prince, Kasim Mganga, Ney wa Mitego, […]

Read More..