-->

Daily Archives: August 18, 2016

Masanja Asakwa na Polisi Akiwa ‘HoneyMoon...

Post Image

WAKATI dhamana ya waigizaji wa kundi la Orijino Komedi ikiwa wazi, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kumsaka bwana harusi, Emmanuel Mgaya, kwa mahojiano kama walivyofanya kwa wenzake. Hayo yameelezwa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Hezron Gyimbi, jana baada ya kuwahoji waigizaji hao waliokuwa wakishikiliwa […]

Read More..

Idris Sultan Afuta Akaunti Yake ya Instagra...

Post Image

Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan ameifuta akaunti yake ya Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya milioni 1. Hivi karibuni kuliibuka tetesi za staa huyo kumwagana na mpenzi wake Wema Sepetu huku chanzo cha ugomvi huo ikitajwa ni kuchoshwa na tabia ya mpenzi wake huyo kutompa support kwenye show zake. Mashabiki wa […]

Read More..

Msechu Adai Kutukanwa Juu ya Unene Wake, Az...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Peter Msechu amefunguka na kusema kuwa amekuwa akitukanwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu unene wake na kusema kuwa wapo baadhi ya watu walimfuata na kutaka kumpa dawa ili apunguze mwili wake. Amesema licha ya kushawishiwa kwa hilo, yeye hataki kwa kuwa ameridhika na mwili huo. Akiwa katika kipindi cha […]

Read More..

Huu Ndiyo Utofauti wa Diamond na Kiba

Post Image

KUNA vita ya maneno kati ya makundi mawili ya mashabiki wa Muziki wa Bongo Fleva, wanaowashabikia wasanii Alikiba na Nasibu Abdul ‘Diamond’, kila upande ukidai mtu wao ndiye anajua zaidi kuliko mwingine. Ni mjadala mpana katika mitandao ya kijamii, mitaani na hata miongoni mwa wasanii wenyewe ambao kwa kificho au waziwazi, wamewahi kuzungumzia nani mkali […]

Read More..

Wema Sepetu na Petit Man Wapatana

Post Image

Kwa miezi kadhaa sasa Wema Sepetu na Petit Man walikuwa wakichuniana hadi kuwafanya mashabiki waanze kuuliza maswali kupitia mitandao ya kijamii kutaka kujua kunani! Lakini usiku wa August 16, wawili hao walionekana wakijirekodi video fupi na Wema akaiweka katika account yake ya SnapChat. Baadaye kulivyokucha Wema alionekana kupost video clip ile ile ya SnapChat kwenye […]

Read More..