-->

Daily Archives: August 31, 2016

Nimekamua Kichizi Filamu ya Kitonga – Mau...

Post Image

MAULID ALLY aka Mau Fundi ametamba kwa kusema kuwa amefanya makubwa katika filamu inayokwenda kwa jina la Kitonga ambayo ameigiza kama mtu asiyependa masihara na anaamini kuwa ameitendea haki na wapenzi wa filamu wanunue waone kazi yake humo ndani. “Nimekamua kichiz katika filamu ya Kitonga si unajua nikiwa na njaa ya kazi ninavyopiga kazi, leo […]

Read More..

Bahati Adai Kuzinguliwa na Linex, Mwenyewe ...

Post Image

Msanii Bahati kutoka Kenya ameyafikisha mezani mambo yaliyotokea kati yake na Linex, mpaka kukosekana kwenye wimbo wake mpya wa ‘mapenzi’ ambao unafanya vizuri kwa sasa Afrika Mashariki. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Bahati amesema walikubaliana na Linex na alisha rekodi sehemu yake na kwamba kilichobaki kilikuwa ni ku’shoot’ video ili kazi hiyo […]

Read More..

Msanii wa Nigeria awatamani Ali Kiba, Diamo...

Post Image

MSANII wa muziki wa pop kutoka nchini Nigeria, Omo Alhaji Ycee, ametoa msaada wa Sh milioni moja katika kituo cha wanajamii cha Kigamboni Community Center (KCC) ili zisaidie kutokomeza umasikini. Msanii huyo ambaye yupo katika ziara ya kutangaza muziki wake, aliliambia MTANZANIA kwamba ameamua  kuunga mkono kituo hicho kwa sababu  ya kujitolea  kwao kukuza vipaji […]

Read More..

Filamu ya Kesho Yangu Kuonyeshwa Ndani ya S...

Post Image

Usikose kuangalia filamu hii ndani ya Sibuka maisha channel 111 Kuanzia 02 septemba 3 usiku 03.September saa 9 mchana 04.Septemba saa 3 usiku  

Read More..

Diana: Nakuja Kwa Kishindo na ‘Kalambati ...

Post Image

KIMYA kingi kina mshindo ndivyo anavyojinadi mwanadada huyu Diana Kimaro akisema kuwa alikuwa mafichoni akijipanga kwa ajili ya kukabiliana na pacha wake Lulu ili naye aweze angalau kuibuka na uigizaji bora kwa mwaka huu baada ya kufanya kazi zenye ubora mkubwa kwa lengo la kuwa mwigizaji bora wa kike. “Unajua wengi wanajua kuwa swahiba wangu […]

Read More..

Nataka Nifanane na Mashabiki Wangu- Man Fon...

Post Image

Mkali wa singeli nchini Man Fongo amesema hawezi kubadilisha muonekano wake kwa kuwa yeye ni mtoto wa uswazi na anataka kuwa sawa na mashabiki zake. Akipiga story na eNewz, Man Fongo amesema mashabiki zake ni wale wa uswahilini ambao hawawezi kuvaa nguo ya laki tatu hivyo na yeye hawezi kuvaa hizo nguo bali atavaa sawa […]

Read More..